Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni wameanza tena!Ndiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Wahuni wameanza tena!Ndiyo malipo ya mikataba na mikopo mkuu, tutaambiwa hao wanyama wamekuwa hatarishi kwa wanavijiji wa karibu kwa hiyo wanavunwa kupunguza athari hizo
Mali zote za afrika si zetu ni zao sisi ni walinzi tu.All national Park & game reserve ni Mali ya foreign investment ndio maana yule jamaa mtetezi wa tembo walimpiga risasi kule masaki ili waanze kuwazoa wanavyotaka wao maana alikua km anawawekea kigingi
Hao wanyama hata wakiwepo wewe hufaidiki na chochote zaidi ya kuletewa matozo yasiyo na kichwa wala mkia.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Kwenye swala la utunzaji wa Raslimali za taifa hapa ndo Nyerere anajipatia sifa zake. Kwa sababu hakuna wa kuvaa viatu vyake.Mkuu hapo unakosea sana, hawa wanyama, huu ndio urithi wetu, hatupaswi kuruhusu mtu yeyote kuupata..., tizama Microsoft wanatuuzi millions of millions za Computer kila mwaka lkn mpaka leo tunalazimika kununu programs zao (operating systems-win. 7,8 10,11 or later)... hebu jamani tujifunze nasi kulinda vyetu, huu ujinga utatutoka lini?, mfano tukiwauzia Twiga mmoja, kila akizaa watulipe kwa nini tunawapa bure tu.. mbona tukinunua bidhaa zao bado haki ya biashara wanaimiliki wao?? kuwepo idadi kubwa ya wanyama si sababu.. jamani huu ujinga utatutoka lini??.... tunawauzia madini ya kila aina wanaondoka JUMLA hatuwaoni..wao wakituuzia simu za makononi hata Display au battery, wanatuuzia wao jamani huu UJING NA UPUMBAVU NA USHENZI utatutoka lini waafrika?!! kwa upuuzi huu, basi Sofiane Boufal alikuwa sahihi kabisa aisee... SHENJI yake...
Mkuu nilikuwa India kuna sabuni za Mavi ya ng'ombe na shampoo piaJapani wako kwa majaribio ya mwisho kutengeneza Biskuti za MAVI... delivery ya kwanza itatua wapi?!!
Ccm mtaendeleza kuuza rasilimali zetu hadi lini?Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Mkuu umeongea kwa uchungu sana.Mkuu hapo unakosea sana, hawa wanyama, huu ndio urithi wetu, hatupaswi kuruhusu mtu yeyote kuupata..., tizama Microsoft wanatuuzi millions of millions za Computer kila mwaka lkn mpaka leo tunalazimika kununu programs zao (operating systems-win. 7,8 10,11 or later)... hebu jamani tujifunze nasi kulinda vyetu, huu ujinga utatutoka lini?, mfano tukiwauzia Twiga mmoja, kila akizaa watulipe kwa nini tunawapa bure tu.. mbona tukinunua bidhaa zao bado haki ya biashara wanaimiliki wao?? kuwepo idadi kubwa ya wanyama si sababu.. jamani huu ujinga utatutoka lini??.... tunawauzia madini ya kila aina wanaondoka JUMLA hatuwaoni..wao wakituuzia simu za makononi hata Display au battery, wanatuuzia wao jamani huu UJING NA UPUMBAVU NA USHENZI utatutoka lini waafrika?!! kwa upuuzi huu, basi Sofiane Boufal alikuwa sahihi kabisa aisee... SHENJI yake...
Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Hivi Faru Fausta bado yupo na watoto wake au kashapigwa mnada?ukienda kusini mwa nchi ukitembea vibaya... tembo hawa hapa..
Ukilima maisha yako yapo hatarini...
Sisemi tembo wauwawe.. Hapana
Bali wapelekwe sehemu za mbali..
Ila viboko wavunwe.. Wakiuza nje.. Mapato yanaongezeka.. ( unauza nyama ya kiboko)
Ni awamu yao ya kuwaiza sana kupeleka ujombani huko kwa wafalme waleeeMashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Kupaki imekuwa kosa!, labda dereva kabanwa na haja ndogo kashuka kuchimba dawa!, leteni habari kamili sio hizi za kipashkuna.Mashine inayosifika kwa kuweza kubeba idadi kubwa ya wanyamapori imetua tena Kia sijajua safari hii wataenda wangapi? Ndugu zangu hapo JRO vipi? Mmeiona hiyo chuma?
View attachment 2458542
Duh!...Wamekuja chukuwa zawadi yao ya krismass si unajua leo boxing day
Tanzania ya leo hii umbeya ni mwingi sana. Kawaida unaanza kwa mtu kusoma magazeti ya udaku ya bei rahisi halafu mtu anakuwa mmbeya mwenyewe baada ya kuzoea kuzisoma habari hizo. Pathetic mindsets.Unauhakikq gani inabeba wanyama pori?