Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Kabisa..
Ana akili mno...ila ndiyo hivyo kuna muda anajizimaga data...

Zari hadi kesho hata umchokonoe vipi kuhusu Akothee hajibu[emoji1787]Anamjua alivyo na mdomo mchafu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akothee nae anachachukaga vibaya mnoo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna Interview yake moja Aliukizwa inasemekana ameiba Bwana wa watu...

Akajibu..."Wakati Bwana anaibiwa Mlinzi wa kulinda Bwana alikuwa wapi"[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jibu konki kabisa,Kama mlinzi unaacha lindo wazi mwizi afanyaje?🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kabisa..
Ana akili mno...ila ndiyo hivyo kuna muda anajizimaga data...

Zari hadi kesho hata umchokonoe vipi kuhusu Akothee hajibu[emoji1787]Anamjua alivyo na mdomo mchafu.
Zari ubongo wake Ni mdogo sanaaa hawezi kushindana na Ile jaluo akili yake ni kubwaaa,Zari acha awaonee kina Hamisa na zuchu tu huku
 
Mwezi huu wameolewa mapresident wa masingle Maza toka nchi mbili tofauti wote Wana watoto 5,aged45+ kwa hiyo muache bint asome zake mpaka hiyo PHD ndoa zipo tu😁😁😁
Hahaha............kumbe hadi kuna President wa MaSingle Mother πŸ™Œ

Thanks for the courage, wacha asome huenda akaja kuwa our next president miaka ijayo
 
Eeeh wapo,Tena huyu mmoja ndio alikuwa anakipenda Sana cheo chake kila akimaliza maelezo anajiita yeye Ni madam president 🀣🀣🀣🀣
Umenichekesha eti mtoto anaweza kuja kuwa the coming president🀣🀣
 
Amejikubali na amekuwa proud na cheo chake πŸ€ͺ

Hakuna Mzazi anamuombea kijana wake mabaya, hapa nina hamu ya kuendeshwa na magari ya Ikulu. Kitu V8 πŸ˜†πŸ˜†
 
tangu arushege ile video anajisugua miaka ileee, hadi wajukuu watakuja kuiona, na ndio laana anatembea nayo ya kuolewa na vitoto vidogo.
 
Amejikubali na amekuwa proud na cheo chake πŸ€ͺ

Hakuna Mzazi anamuombea kijana wake mabaya, hapa nina hamu ya kuendeshwa na magari ya Ikulu. Kitu V8 πŸ˜†πŸ˜†
Huyo president wa single mama ana miliki Safari company,ana hotel,hizo land cruiser za porini za kutosha,ana ma real estate akienda kwenye graduation za watoto wake anakodi private jet...so usijali ukiona Hadi anakuwa madam president V8 utapanda
 
Huyo yuko vizuri, na Wanaume tulivyo na fear kwa Wanawake wenye kipato, unaweza kuta huyo Madam President hapati Mtongozo Mwaka Mzima.

Na ile huduma nyingine kuipata mpaka akutane na Kimasihara ya Bwana Rick Boy πŸ™ˆπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…