Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda
Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe mpya
Kiukweli mi mmefurahi Sana maana dini inatuambia Ndoa ni nusu ya dini hvyo amekamilisha nusu ya dini yake haijalishi kaolewa na masikini,tajiri,sijui mara katoto n.k
Nimeona Instagram Watu wamemponda Sana kuwa kaolewa na katoto mara sijui hana pesa. Honestly tuacheni wivu Ndoa ni Mungu anapanga nani atakuoa na kwa wakati gani muhimu ni dua tu kupata mume mwema
Tuacheni wivu,chuki na hasad Zari anaweza kuwa alikuwa gold digger lakini kaamua kubadilika atulie kaolewa maisha ni mafupi sana kuna muda wa kutubia
Kama zinaa kaifanya mnoo mpaka kufikia kuzaa watoto wote wale
Hao wenye pesa Sio ambao Mungu alimpangia kuolewa nao
Kwa sisi wenye dini zetu (Kwa wapagani mtanisamehe)
Ndoa ni heshima pia Kwa kuwa watoto wake kwa sasa ni wakubwa wanahitaji kuona mama ametulia kudanga danga na wanaume kwa umri wake haileti picha Nzuri haswa kwa tamaduni zetu za kiafrica
Nawaombea Kila kheri ktk Ndoa yake na mumewe katika maisha yake mapya ya Ndoa akamtii mumewe na ajue Kwa Sasa km ni Ndoa ya kiislam baasii mume Ndo Pepo yake akatulie