Plot4Sale Mashamba yanauzwa Mkuranga, Pwani

Plot4Sale Mashamba yanauzwa Mkuranga, Pwani

Shamba eka tatu lipo mwarusembe mkuranga pwani linatakiwa milioni nne kilo mita moja kutoka barabara kilwa road
IMG-20230120-WA0079.jpg
 
Shamba eka 50 lipo matanzi mkurang pwani eneo zuri kwa ajili ya kufuga limetengwa na serikali pia unaweza kulima maji ya kutosha lipo mbali na makazi ya watu kila eka laki 6 karibu saana +255625977427
EooOqVqXEAAq9vE.jpg
 
Hizi picha sio za mazingira ya mkuranga acha ku google utaonekana tapeli usidhani wote humu wageni wa wilaya ya mkuranga.
 
Hizi picha sio za mazingira ya mkuranga acha ku google utaonekana tapeli usidhani wote humu wageni wa wilaya ya mkuranga.
unapajua matenzi njoo uone nauli kwangu ukikuta tofauti na picha nakurudishia pesa yako mkuu ya usumbufu
 
unapajua matenzi njoo uone nauli kwangu ukikuta tofauti na picha nakurudishia pesa yako mkuu ya usumbufu
angalia vizuri hiyo ardhi ina asili ya uwala maeneo ya bonde chini kuna asili ya tope unahisi kuna faida gani niweke picha ambayo sio
 
MASHAMBA SHUNGU BWENI MKURANGA PWANI BEI EKA MILIONI MBILI KARIBU SIM +255625977427 MAENEO YAPO JIRANI NA WASANII NA WATU MAARUFU KUNA MAKEMPU KIBAO UMEME NA HUDUMA MUHIMU ZIPO
1674663261683.jpg
 
MASHAMBA SHUNGUBWENI EKA MILIONI MBILI KARIBU NA BARABARA KABISA WOTE KARIBU SEHEMU ZA MABOSS +255625977427
1674663254478.jpg
 
Karibu saana mkuranga karibu saana mwarusembe karibu saaana mkoa wa pwani ardhi bado ipo ya kutosha mashamba na viwanda njoo uchukue eneo lako kwa bei ya mkulima hakuna dalali kuanzia laki sita mpaka milioni mbili kwa eka moja +255625977427
1675018953152.jpg
 
Back
Top Bottom