Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Hivi wewe umetoroka lindo la kulinda kaburi Chato?

Saa hizi ni saa 10 midnight bado unamlilia mtu keshaoza kwenye hilo kaburi unalolinda?

Hivi mtajiliza mpaka lini? wakati mwenzenu Janeth kashukuru yule Ibilisi kuondoka sasa hivi ananawiri.
Hoja yako nn bwashekhe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yako nn bwashekhe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yangu ni hii

FB_IMG_1650274177234.jpg
 
Ukiona mtu anamtukuza dikteta Magu jua ni msukule. Unawezaje kuacha kuona uovu wa Magufuli kama wewe siyo msukule? Kiongozi ambaye hakuficha uovu wake kwa kauli na kwa matendo!
Kama mtu haoni mazuri na makubwa aliyofanya JPM ingawa kuna mabaya ambayo yalifanyika ili mazuri yatamalaki, Huyo ni mpuuzi wa kupuuzwa. Wezi walitwaliwa walizoiba, waliomtukana walitandikwa 30! Hiyo ni katika kufanya hayo makubwa unayoyashuhudia. Hata Yezu alisulibiwa msalabani ili wanadamu (walio wengi) waokolewe. Upo Mpaka hapo
 
Ninajiuliza:

• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?

• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January. Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?

• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?

• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?

Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi. Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.

Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang

Hongera zao sana. 😁

Muwe na Alhamisi njema.
Mama anamalizia miradi iliyoachwa na mtangulizi wake ambaye aliiacha ikiwa chini ya asilimia 10 kiuendelezo,unaposema eti ndani ya mwaka mmoja ajafanya kitu ni KICHEKESHO,kumbuka miradi ni MINGI na nimiradi mikubwa yenye uhitaji wa fedha nyingi sana,mlitaka aiache aanzishe mipya?, kumbukeni baadhi ya miradi iliyoachwa baadhi imekamilishwa na mingi imefikia katika hatua nzuri sana kwa kuifikisha juu ya asilimia 50%.
MNAPOSEMA HAJAFANYA KITU MNATUSHANGAZA SANA WENYE AKILI TIMAMU.
 
Miradi ipi ilikuwa chini ya 10%?
 
Vituo vyote, mpaka vituo hewa. Jiwe aliwaondoa akili za kufikiri, mme bakiwa na mafuvu tu. Hizo forehead mmeachiwa za kupasulia nazi. Ndiyo sababu mnaunga mkono kupita bila kupingwa.
Tuwekee hapa vituo vitano na matokeo yake.
 
Nimefurahishwa na kauli ya Mh Lema, akidai yakuwa RIPOTI ya CAG imegeuka kaa la moto kwa Wana ccm Sasa wanaona njia pekee ya kujisafisha ni kutafuta vibaraka wamnanhe Rais aliyekuwa madarakani kana kwamba RIPOTI ni ya mwaka 2021 tu.

Hii RIPOTI ni ya nusu 2020 na nusu 2021 ambayo ni nusu Samia nusu mwendazake Sasa iweje anangwe yeye?

Hivi wizi wa BOT Raisi anausikaje?

Hivi wizi wa MSD Raisi anausikaje?
Hivi wizi wa Bandarini Raisi kaendaje?

Hivi wizi wa kwenye majeshi yetu Rais kaendaje?

Leo hii imefikaj hatua Zitto kabwe anatwambia tunao mpenda Magu twende tukazikwe nae chato,yeye halikuwa hampendi mama yake mbona hakuzikwa nae?

Leo hii anasemwa Magufuli kana kwamba alikuwa mwanachama wa Umoja party?

Magufuli alikuwa mtu mmoja tu na ndoaliyeondoka Sasa amwacheni apumzke Watanzania tuwe makini sana na watu kama wakina zitto wanatumika kuisafiaha ccm huku wakimchafua Magufuli.

Tunao mjua tuna mjua.
Zitto naye yupo kwenye kundi la wanaolamba asali, lazima ajipendekeze zaidi kwa wenye mzinga.
 
Hivi wewe umetoroka lindo la kulinda kaburi Chato?

Saa hizi ni saa 10 midnight bado unamlilia mtu keshaoza kwenye hilo kaburi unalolinda?

Hivi mtajiliza mpaka lini? wakati mwenzenu Janeth kashukuru yule Ibilisi kuondoka sasa hivi ananawiri.
Sijatoroka, nipo ninalinda mkuu.

Halafu nani alikuambia kunenepa ni kunawiri?
 
Binafsi sijawahi kuona lolote lenye manufaa kwa WaTz kipindi cha Magufuli. Ajira hazikuwepo, mishahara hakuongeza, kodi juu, kufungiwa akaunti, mauaji, undugu kazini (TISS alipeleka wasukuma hata sifa hawana na mbaya alikuwa anakutana nao wanaongea Kisukuma)

Kwa kifupi Mungu ametunusuru na tunafaa tumshukuru mungu kwa kutuepusha na jini lile.
Wapigaji na waovu wote hakuna jema wanaloweza kuliona kwa JPM.
 
Mbona dunia imeshuhudia uongozi mahiri wa wanawake walioleta mageuzi kwenye nyanja zote za maisha?

Unawafahamu au ulishawahi kuwasikia akina Margaret Thatcher, Queen Elizabeth, Angela Merkel, na wengineo?

Tanzania tunaye Mama Shupavu; Samia Suluhu Hassan. 😂
Walikuwa wameshatengenezewa mitaji kitambo wao walisimamia yale yote ambayo watangulizi wao walishayapanga halafu kule kwa wenzetu sheria zinaheshimiwa sana hata mtoto wa miaka kumi anaweza kuongoza kwa ujasiri mkubwa kwa sababu taasisi zao zinafanya kazi barabara.
 
Ninajiuliza:

• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?

• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January. Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?

• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?

• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?

Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi. Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.

Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang

Hongera zao sana. 😁

Muwe na Alhamisi njema.
Amefanya vibaya wakati wa utawala wake sasa watu wanafunguka.
 
Hii nchi ina mipumnavu michache kama Sang'udi na ndiyo inafanya tudharauliwe.

Hoja za kipumbafu sana hizi, na yeyote anayeziunga mkono ana akili ndogo kama PIRITONI.

Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge,
Ndugu,
Hoja duni za waliokuwa waimba mapambio hazina uwezo wa kufunika na kuficha udhalimu wa mungu wa Burigi.
Ili nchi hii isafike lazima madhambi yake yawekwe hadharani, ili hata wale/wananchi waliokuwa wanaimbishwa nyimbo za kusifu ushetani wafumbuke macho na kuujua tena maana ya kuwa na uhuru wa kweli pamoja na kupata haki zao.
 
Walikuwa wameshatengenezewa mitaji kitambo wao walisimamia yale yote ambayo watangulizi wao walishayapanga halafu kule kwa wenzetu sheria zinaheshimiwa sana hata mtoto wa miaka kumi anaweza kuongoza kwa ujasiri mkubwa kwa sababu taasisi zao zinafanya kazi barabara.
Samia hajatengenezewa mitaji na anaongoza vizuri tu.
 
Back
Top Bottom