Watu wanataka kuona mambo kwa macho yao kama walivyo shuhudia kwa magu akifanya kazi bilakuchoka.
Alionekana wazi akitatua matatizo ya wananchi hata barabarani, alidhibiti mfumuko wa bei ya vitu muhimu kama mafutayakula nk.
Aliwajengea stand za kisasa hao unaoita wajinga nchi nzima na mambo mengine mengi unayajua, sema unajifanya tu kama juha.
Kama haowalio chukizwa niwachache kiasi chakushindwa kutoka mbele ya wengi walio furahiya utawalawake then hilo nijambo la kawaida sababu wakatiwote wengi ndio wanaamua kitugani kinafaa kukubalika na wachache inabidi wakubaliane na wengi, kamahataivyo hujui basi endelea kupambana na marehemu.