Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Watu wanaongea ukweli uliokua ukifichwa wewe unaona kama ni mashambulizi.

Yaani tunayo kazi ya kubadili mfumo wetu wa elimu watoto hujengewa kutii tu hata uovu kisa kaambiwa na mkubwa wake.

Akiumizwa hawataki azungumze hadharani bali pembeni , mwisho wa siku mkubwa akiwa hayupo akisemwa wanaona ni dhambi kumbe chanzo ni utamaduni.

Hii inayoitwa legacy ni inajipambanua ilivyokua na uchafu wake ndio maana watu hawakupewa upenyo wa kutoa maoni japo chumvi zinaweza kuwepo ila 90% ya yaongelewayo ni sahihi kabisa.

Acha legacy ivune ilichopanda ni wakati wa ukweli kujitenga na uongo na propaganda za miaka 6.
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Basi wanakuona mjinga ndiomaana wanakusikiliza tu.

Wewe na wenzako wote mnaojitoa akili humu ingieni facebook ama youtube, alafu tafuta mjadala wowote unao muhusu magu hata ule wa zito tu alafu soma comments zote ndio utajua mitaani kunanini.
Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.

Watu wanaojitambua hawawezi kurisk kumshambulia Magufuli hadharani kutokana na mfumo mbaya aliouacha na wafuasi wajingawajinga kama wewe ambao wengine wako mpaka kwenye vyombo vya usalama. Kwa hiyo,wale waliokuwa wanachukizwa na utawala mbovu wa Magufuli hawawezi kutoka hadharani kwa majina yao halisi huko.
 
Kwahiyo facebook na youtube ndio mtaani ila huku jf sio mtaani?! Uza ubongo huo bro. Tuko mtaani kama. Kawaida, na huyo dhalimu sio chochote sio lolote.
 
Watu wanataka kuona mambo kwa macho yao kama walivyo shuhudia kwa magu akifanya kazi bilakuchoka.
Alionekana wazi akitatua matatizo ya wananchi hata barabarani, alidhibiti mfumuko wa bei ya vitu muhimu kama mafutayakula nk.

Aliwajengea stand za kisasa hao unaoita wajinga nchi nzima na mambo mengine mengi unayajua, sema unajifanya tu kama juha.
Kama haowalio chukizwa niwachache kiasi chakushindwa kutoka mbele ya wengi walio furahiya utawalawake then hilo nijambo la kawaida sababu wakatiwote wengi ndio wanaamua kitugani kinafaa kukubalika na wachache inabidi wakubaliane na wengi, kamahataivyo hujui basi endelea kupambana na marehemu.
 
Ilitoka Samia akiwa madarakani; yet she (and her fellow high profile politicians) never attacked her predecessor as she's been doing lately.
Magufuli aliwashambulia sana watangulizi wake na kusema wamechezea sana nchi, pia walipompa USHAURI akawaambia "Wanawashwa washwa".
 
Magufuli aliwashambulia sana watangulizi wake na kusema wamechezea sana nchi, pia walipompa USHAURI akawaambia "Wanawashwa washwa".
Kwamba ilipotoka report ya mwaka jana hakuwa amewaambia wanawashwawashwa?
 
Ukiondoa Ben saa8,Azori na Lissu ambao mnasingizia kuwa awamu ya tano ilihusika ,je waweza kututajia hao waliyokutwa kwenye viroba ni kina nani? Je kuna familia ililalamika kupoteza ndugu ? tumieni akili.Muna owoga mpaka mnamwogopa marehemu.hahaaaaa.
Kwani sasa hivi watu hawapotei? Au watutajie awamu ipi watu hawakuwahi kupotea? Au watutajie duniani ni nchi gani watu hawajawahi kupotea?
 
Ukiona mtu anamtukuza dikteta Magu jua ni msukule. Unawezaje kuacha kuona uovu wa Magufuli kama wewe siyo msukule? Kiongozi ambaye hakuficha uovu wake kwa kauli na kwa matendo!
Tuorodheshee matendo yake maovu.
 
Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.

Watu wanaojitambua hawawezi kurisk kumshambulia Magufuli hadharani kutokana na mfumo mbaya aliouacha na wafuasi wajingawajinga kama wewe ambao wengine wako mpaka kwenye vyombo vya usalama. Kwa hiyo,wale waliokuwa wanachukizwa na utawala mbovu wa Magufuli hawawezi kutoka hadharani kwa majina yao halisi huko.
Umewakilisha mawazo yangu, safi sana, nilishindwa kuwafafanulia, maana vichwa vyao vimejaa pumba alizowajaza Magu.
 
Kule facebook na twitter wamejaa wajinga wa kutosha ambao hawawezi kupambanua mambo sawasawa.

Watu wanaojitambua hawawezi kurisk kumshambulia Magufuli hadharani kutokana na mfumo mbaya aliouacha na wafuasi wajingawajinga kama wewe ambao wengine wako mpaka kwenye vyombo vya usalama. Kwa hiyo,wale waliokuwa wanachukizwa na utawala mbovu wa Magufuli hawawezi kutoka hadharani kwa majina yao halisi huko.
Hao unaowaita "wajinga" hawapigi kura?

Wewe ni mwerevu?
 
Kwahiyo facebook na youtube ndio mtaani ila huku jf sio mtaani?! Uza ubongo huo bro. Tuko mtaani kama. Kawaida, na huyo dhalimu sio chochote sio lolote.
Mna kakikundi kenu mmeji-organise... Kila uzi ni walewale and so that ain't reflective ya watu wa mtaani.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Watu wanataka kuona mambo kwa macho yao kama walivyo shuhudia kwa magu akifanya kazi bilakuchoka.
Alionekana wazi akitatua matatizo ya wananchi hata barabarani, alidhibiti mfumuko wa bei ya vitu muhimu kama mafutayakula nk.

Aliwajengea stand za kisasa hao unaoita wajinga nchi nzima na mambo mengine mengi unayajua, sema unajifanya tu kama juha.
Kama haowalio chukizwa niwachache kiasi chakushindwa kutoka mbele ya wengi walio furahiya utawalawake then hilo nijambo la kawaida sababu wakatiwote wengi ndio wanaamua kitugani kinafaa kukubalika na wachache inabidi wakubaliane na wengi, kamahataivyo hujui basi endelea kupambana na marehemu.
Unajaribu kumuelewesha mwenye vyeti vya kughushi unafikiri atakuelewa?
 
Hao unaowaita "wajinga" hawapigi kura?

Wewe ni mwerevu?
Kwani Magu alitumia wapiga kura? Si aliwaambia Tume wajaze namba zake zilizompa ushindi, ambazo hazikuendana na idadi ya watu vituoni.
 
Kwani Magu alitumia wapiga kura? Si aliwaambia Tume wajaze namba zake zilizompa ushindi, ambazo hazikuendana na idadi ya watu vituoni.
Kituo kipi namba hazikushabihiana? Tuwekee hapa.
 
Kituo kipi namba hazikushabihiana? Tuwekee hapa.
Vituo vyote, mpaka vituo hewa. Jiwe aliwaondoa akili za kufikiri, mme bakiwa na mafuvu tu. Hizo forehead mmeachiwa za kupasulia nazi. Ndiyo sababu mnaunga mkono kupita bila kupingwa.
 
Ninajiuliza:
Unatueleza kwa utafakari....
• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?
Mama yake nani huyo asiye na Jina?
• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January.
Huyo juu, najiuliza, Uhuru upi?
Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?
Kama mashambulizi yepi hayo? wakati "wenzao" wamejazana chini ya mti wakishangaa asali ikitonya kutoka kwenye mzinga wa nyuki
• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?
Awamu ya sita inawezasimikwa na Kura tu! Zaidi ya hapo ni muendelezo wa awamu ya tano kwenye mchakato wa kwenda awamu ya sita
• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?
Hawa kina nani? "Wanaojidhania" ?
Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi.
Pongezi baada ya dhihaki? mmmmh???
Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.
Kama inavyodaiwa? Yataeleweka. tupo pamoja!
Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang
Umechezwa wapi huu mchezo?
Yaani hili la 0-3 limetokana na majumuisho ya huko juu?

Wala!, najifikirisha,
Ndio ulichotaka kugusia, kusema, umepiga mwingi huko juu kufikia matokeo hayo. Wewe Sangudi, mbona unatizama huo mchezo peke yako yakhee!
Hongera zao sana.

😁

Muwe na Alhamisi njema.
Hitimisho
Daku njema.
 
Nimefurahishwa na kauli ya Mh Lema, akidai yakuwa RIPOTI ya CAG imegeuka kaa la moto kwa Wana ccm Sasa wanaona njia pekee ya kujisafisha ni kutafuta vibaraka wamnanhe Rais aliyekuwa madarakani kana kwamba RIPOTI ni ya mwaka 2021 tu.

Hii RIPOTI ni ya nusu 2020 na nusu 2021 ambayo ni nusu Samia nusu mwendazake Sasa iweje anangwe yeye?

Hivi wizi wa BOT Raisi anausikaje?

Hivi wizi wa MSD Raisi anausikaje?
Hivi wizi wa Bandarini Raisi kaendaje?

Hivi wizi wa kwenye majeshi yetu Rais kaendaje?

Leo hii imefikaj hatua Zitto kabwe anatwambia tunao mpenda Magu twende tukazikwe nae chato,yeye halikuwa hampendi mama yake mbona hakuzikwa nae?

Leo hii anasemwa Magufuli kana kwamba alikuwa mwanachama wa Umoja party?

Magufuli alikuwa mtu mmoja tu na ndoaliyeondoka Sasa amwacheni apumzke Watanzania tuwe makini sana na watu kama wakina zitto wanatumika kuisafiaha ccm huku wakimchafua Magufuli.

Tunao mjua tuna mjua.
 
Hivi wewe umetoroka lindo la kulinda kaburi Chato?

Saa hizi ni saa 10 midnight bado unamlilia mtu keshaoza kwenye hilo kaburi unalolinda?

Hivi mtajiliza mpaka lini? wakati mwenzenu Janeth kashukuru yule Ibilisi kuondoka sasa hivi ananawiri.
 
Back
Top Bottom