Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ina mipumnavu michache kama Sang'udi na ndiyo inafanya tudharauliwe.• Zimbabwe wamekamilisha na au wanajenga megaprojects kama alivyofanya Magufuli?
• Zimbabwe walifanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kama alivyofanya Magufuli?
• Zimbabwe wanaweza kushughulikia matatizo makubwa yanayoikumba dunia kama alivyofanya Magufuli kwenye UVIKO-19?
• Zimbabwe wanaweza kurudisha ueledi kwenye utumishi wa umma kama alivyofanya Magufuli.
Note: 🇿🇼 = Awamu ya sita
Poleni, au wenzenu wengine wamejongo ?
Mbona hata Makonda mwenyewe ni shoga? Alipambanaje na mashoga wakati yeye mwenyewe anapakuliwa? Marehemu Spika Awamu ya kwanza ya JK na Mbunge wa Urambo alimhamishia nyumbani kwake kabisa kama hawaraKwani wewe ukisikia life/maisha unaelewa nini?
Mtu aliyechagua kuishi kama shoga, ukaingilia uamuzi huo that is as well denying him of the right to life.
Makonda alizuiwa kuingia Marekani kwa kuwa alipambana na nyie mashoga. Period.
Soma kwa umakini these two last paragraphs za attachment.
View attachment 2195314
Well saidKama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?
Watu hawakuwa na uhuru wa kuongea, anaefungua mdomo anaikotwa kwenye kiroba
Ukiondoa Ben saa8,Azori na Lissu ambao mnasingizia kuwa awamu ya tano ilihusika ,je waweza kututajia hao waliyokutwa kwenye viroba ni kina nani? Je kuna familia ililalamika kupoteza ndugu ? tumieni akili.Muna owoga mpaka mnamwogopa marehemu.hahaaaaa.Kumtetea huyu, ni shida.
Hasafishiki kabisa. Mikono yake inanuka damu za watu
Pole sanaUkiondoa Ben saa8,Azori na Lissu ambao mnasingizia kuwa awamu ya tano ilihusika ,je waweza kututajia hao waliyokutwa kwenye viroba ni kina nani? Je kuna familia ililalamika kupoteza ndugu ? tumieni akili.Muna owoga mpaka mnamwogopa marehemu.hahaaaaa.
Pole ya nini?Pole sana
Kusema za ukweli alikuwa anapenda kuendeleza hii nchi ila shida ni kuwa aliifanya Tanzania kama familia yake. Akatumia nguvu nyingi na ukiipinga Tanzania ni sawa na kumpinga yeye binafsi. Hilo lilikuwa ni kosa lake kubwa. Huu upepo wa kumkandia kama afanyavyo Zitto, utaisha kama upepo wa kisurisuri na mwisho miaka kama 10 ijayo, watu wawili watakuwa ni heros hapa TZ (Nyerere na Magufuli).
Mpira ndo bado kabisa dk3 kipindi cha kwanza! Naona team msoga inaweka mabasi yake nyumba kudhibiti team team sukuma!Team jiwe wanaishi kama mashetani sasa awaamini kama mpira umeisha kabla ya dakika 90
Ujinga nimzigo,mnapambana na marehemu kipumbavu sana hojazenu ninyepesi kiasi kwamba hata asipokuwepo mtuyoyote anaweza kuwapinga kirahiai sababu 24/7 mkishindwa hoja mnaanza kutaja watu wawili ama watatu lisu anaeficha ushahifi "dereva" na sanane, haohao.
Mkiulizwa vipi kuhusu Mvungi na mauwaji ya kibiti mbona hamlalamiki kwauzito huo mnazungusha machotu.
Magu hatachafuka kipumbavu mtapiga makelele mbaka 2025 hakuna atakaesikiliza upuuzi wenu.
Una utindio wa ubongo si bure! Lakini unaeleweka tangu ZamaniMagufuli awe hero wa nchi hii, labda kama una mitazamo ya kimaskini.
Mpira ndo bado kabisa dk3 kipindi cha kwanza! Naona team msoga inaweka mabasi yake nyumba kudhibiti team team sukuma!
Mara bodaboda wasiingie mjini, mara waingie! Shame on them!
Kaka hebu kua hata na aibu huwezi jua hata hii lipoti ya CAG imepikwa kwa ajiri ya kumchafua JPM...Hivi kwa akili zako tu miradi yote alio acha mwendazake imekamilika ...huyu mama mkimpa hata miaka 50 hawezi fikia hata robo jamaa kafanya mambo mengi sana....mm nakupa mfano mdogo tu hapa kigamboni kuli kua na boti mbili mbovu hatari lakini alipo ingia jamaa akajenga mbili mpya na moja akailekebisha ....nenda sasa hivi utalia vilivo baada ya kuondoka tu mwenda zake ..[emoji24][emoji24][emoji24]Soma ripoti ya CAG uone wizi na ubadhirifu uliofanywa na Mwendakuzimu kuzimu na genge lake laTan Roads
Miaka ya nyuma wizi na ubadhirifu huu ulifichwa kwa makusudi baada ya Magu kumtumia Ndugai kumuondoa mtu muadlifu asiyetetereka Prof Assad sasa MAMBO HADHARANI .
Kama ulitegemea Mama arithi uchafu wa wezi wa Washamba/Sukumagang umeula wa chuya
Washamba mmepigwa na kitu kizito na watoto wa mjini kiasi mnakimbilia Umoja Party huku hamjui ni mtoto atakayezaliwa MFU
Ni kweli tupu!:RIP JPMHawa wasiokuwa mafisadi ndio wanaongoza kukusanya tozo, kodi, misaada na madeni... Halafu zote zinaishia kuliwa kwa urefu wa kamba na kulambia asali. RIP Magufuli.
Hawa watumwa wenye ID zao mbilimbili ndio wanatumwa kujaribu kupima upepo na kwabahati hojazao niza kijinga hazina fact yoyote.Wafisadi, wauza madawa ya kulevya, walioghushi vyeti na majangili hawataki kusikia mema ya Magufuli kabisa. Sijui wanataka tuwe na taifa ovu kiasi gani!!!
Nawewe umelipwa amaunaunga tu tela kama mdundiko.Magufuli ni shetani!
Maneno kama hayo yanadhihirisha kichwani kwako hamnakitu zaidi ya stress, ujinga, na nimtu uliekata tamaa.Shetani yule. Tunamshambulia Ili nyie ndugu zake mlionufaika na uovu wake muumie.
Hakika familia yake itapata tabu sana.
Itakataliwa popote mpaka mbinguni.
Muuwaji amekataliwa mbinguni na duniani