Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Watoto wakipata mimba warudi shule.Amefanya kazi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wakipata mimba warudi shule.Amefanya kazi gani?
Hata wao wana haki ya kuongoza kama sisi.Ndiyo sikatai,ila nchi inakuwa ya vijembe vijembe vingi kuliko uchapakazi.
Nikuulize swali dogo tu, ni nchi gani duniani ilipata ukombozi kupitia mwanaharakati mwanamke au rais mwanamke?Hata wao wana haki ya kuongoza kama sisi.
Mungu alituumba wote sawa na kwa kufanana naye, meaning we were both given intellect and will.
Ukiacha masuala machache ya kibayolojia na gender issues; tupo nao sawa na wana haki ya kuongoza sawa kabisa na sisi.
Tuwatendeeni haki.
Punguza mahaba! Those are not speculations,the scenario is very clear to the effect that even a layman can make a simple analysis and come up with the finding that it was master minded by state similar to a Saud journalist'sdeath in InstambulYou're speculating, dear learned brother.
Na bado. Kama yeye alivyosema wenzake kuwa walifanya mambo ya hovyo.Ninajiuliza:
• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?
• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January. Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?
• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?
• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?
Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi. Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.
Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang
Hongera zao sana. 😁
Muwe na Alhamisi njema.
Hiki kiinglish ataelewa kweli?Punguza mahaba! Those are not speculations,the scenario is very clear to the effect that even a layman can make a simple analysis and come up with the finding that it was master minded by state similar to a Saud journalist'sdeath in Instambul
Yupo vzuri sema ndo legacy inamfanya ajichomoe akili.😀😀😀Hiki kiinglish ataelewa kweli?
Sijui kama wapo.Nikuulize swali dogo tu, ni nchi gani duniani ilipata ukombozi kupitia mwanaharakati mwanamke au rais mwanamke?
Ujinga nimzigo,mnapambana na marehemu kipumbavu sana hojazenu ninyepesi kiasi kwamba hata asipokuwepo mtuyoyote anaweza kuwapinga kirahiai sababu 24/7 mkishindwa hoja mnaanza kutaja watu wawili ama watatu lisu anaeficha ushahifi "dereva" na sanane, haohao.Shetani lazima ashambuliwe na kila mwenye akili timamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Amen.Watu wanaongea ukweli uliokua ukifichwa wewe unaona kama ni mashambulizi.
Yaani tunayo kazi ya kubadili mfumo wetu wa elimu watoto hujengewa kutii tu hata uovu kisa kaambiwa na mkubwa wake.
Akiumizwa hawataki azungumze hadharani bali pembeni , mwisho wa siku mkubwa akiwa hayupo akisemwa wanaona ni dhambi kumbe chanzo ni utamaduni.
Hii inayoitwa legacy ni inajipambanua ilivyokua na uchafu wake ndio maana watu hawakupewa upenyo wa kutoa maoni japo chumvi zinaweza kuwepo ila 90% ya yaongelewayo ni sahihi kabisa.
Acha legacy ivune ilichopanda ni wakati wa ukweli kujitenga na uongo na propaganda za miaka 6.
Sijui kama wapo.
Ila kuna wanawake wengi waliwasaidia kwa karibu hao viongozi wa kiume kwenye kupigania uhuru.
Tanganyika tuna akina Bi. Titi Mohamed wakati Afrika Kusini kuna akina Bi. Winnie Mandela na Oliva Tambo.
Istambul=IstanbulPunguza mahaba! Those are not speculations,the scenario is very clear to the effect that even a layman can make a simple analysis and come up with the finding that it was master minded by state similar to a Saud journalist'sdeath in Instambul
AmenShetani lazima ashambuliwe na kila mwenye akili timamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
NakaziaAmen.
Na mapesa ya mikopo kedekede, zingatieni urefu wa kambazenu tumalize miradi jamani.Haha... Kwahiyo mwaka wote alikuwa anapambana wamama warudi shule?
Speculation involves forming a theory or rather asserting whatsoever without providing any firm proof.Punguza mahaba! Those are not speculations,the scenario is very clear to the effect that even a layman can make a simple analysis and come up with the finding that it was master minded by state similar to a Saud journalist'sdeath in Instambul
mastermindedmastar minded
Aliyofanya marehemu ni makubwa sana.Ninajiuliza:
• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?
• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January. Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?
• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?
• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?
Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi. Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.
Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang
Hongera zao sana. [emoji16]
Muwe na Alhamisi njema.
Wenzako wakina kabwela wanajitoa akili kujaribu kumchafua Magu alafu wanapata rizkimantashala, wewe unaunga telatu kupambana na marehemu.Sasa waambie na watetezi wengine wa legacy waje na approach ya namna hii,sababu vitendo vya jiwe vimezalisha wahanga wengi kiasi kwamba wenye maumivu makali yasiyo mithilika. Huwezi kuwaambia chochote kujustify utekaji utesaji na uuwaji.