Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Ninajiuliza:

• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?

• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January. Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?

• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?

• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?

Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi. Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.

Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang

Hongera zao sana. 😁

Muwe na Alhamisi njema.
Hatuwezi kumpumzisha Dikteta alikuwa anaharibu Nchi yetu kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Isingekuwa Mungu kuingilia kati pale 17 Macho, 2021 huyu Magufuli angeifanya Nchi yetu iwe kama Zimbabwe kiuchumi, au Somalia kijamii au Rwanda Burundi kisiasa.

Tutaandika mpaka Dunia ielewe kuwa mtu aliyedanganya wajinga kuwa ni mchukia ufisadi yeye ndiye alikuwa FISADI mkuu
 
Kwa hiyo kwa mujibu wa akili zako na Bashite na jiwe kupinga vitendo vya ushoga it amounts to kunyima rights to life? Hahahaha. Turudi kwenye vyeti, Bashite alitumia cheti chake cha form four kusomea uvuvi pale nyegezi Mwanza?Je Bashite alikuwa mtumishi wa umma? Je lile zoezi lililenga walimu,madaktari na manesi tu? Hahaa... Nenda Chato kafukue kaburi uvute uvundo akili ikae sawa
Kwani wewe ukisikia life/maisha unaelewa nini?

Mtu aliyechagua kuishi kama shoga, ukaingilia uamuzi huo that is as well denying him of the right to life.

Makonda alizuiwa kuingia Marekani kwa kuwa alipambana na nyie mashoga. Period.

Soma kwa umakini these two last paragraphs za attachment.

Screenshot_20220421-134150_Chrome.jpg
 
Hatuwezi kumpinzisha Dikteta alikuwa anaharibu Nchi yetu kiuchumi, kisiasa na kijamii.

Isingekuwa Mungu kuingilia kati pale 17 Macho, 2021 huyu Magufuli angeifanya Nchi yetu iwe kama Zimbabwe kiuchumi, au Somalia kijamii au Rwanda Burundi kisiasa.

Tutaandika mpaka Dunia ielewe kuwa mtu aliyedanganya wajinga kuwa ni mchukia ufisadi yeye ndiye alikuwa FISADI mkuu
• Zimbabwe wamekamilisha na au wanajenga megaprojects kama alivyofanya Magufuli?

• Zimbabwe walifanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kama alivyofanya Magufuli?

• Zimbabwe wanaweza kushughulikia matatizo makubwa yanayoikumba dunia kama alivyofanya Magufuli kwenye UVIKO-19?

• Zimbabwe wanaweza kurudisha ueledi kwenye utumishi wa umma kama alivyofanya Magufuli.

Note: 🇿🇼 = Awamu ya sita
 
Ukiona mtu anamshambulia JPM ujue ni mpuuzi na ni wa kupuuzwa.
Shetani lazima ashambuliwe na kila mwenye akili timamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Kwani wewe ukisikia life/maisha unaelewa nini?

Mtu aliyechagua kuishi kama shoga, ukaingilia uamuzi huo that is as well denying him of the right to life.

Makonda alizuiwa kuingia Marekani kwa kuwa alipambana na nyie mashoga. Period.

Soma kwa umakini these two last paragraphs za attachment.

View attachment 2195314
Cha msingi jiwe limeoza na Bashite anaishi kwa timing kama digidigi na Sabaya yupo jela. Endelea kupambania legacy. Iam a lawyer by professional na nmesoma darasan topic inayoitwa statutory interpretation... Hivyo nnajua maana ya neno right to life as provided by our mother law( Constitution) as opposed to what you are trying to justify your deceased's shit. Over
 
Lakini wametuhamisha kwenye reli. Tulipaswa kushambulia uovu wa hii awamu kwa masilahi mapana ya nchi na wananchi.
Shambulieni kwani nani kawakataza, si mnasema mko wengi huko kanda ya ziwa?
 
Shetani lazima ashambuliwe naona kila mwenye akili timamu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Kichaa huwa hajitambui, hata wewe hujitambui kuwa ni mpuuzi. Ukimuona mtu anampinga JPM jua ni mpuuzi
 
Wao wale tu,ila wasiteke na kutesa watu na kuuwa watu. Nawaza tu sijachoma chanjo ya covid sababu ya kuogopa maumivu ya sindano. Vipi kuhusu Lissu aliyepgwa risasi 16 mwilini!!!!
Yeye anasafishwa matako tu huko na majamaa meupe.
 
Kichaa huwa hajitambui, hata wewe hujitambui kuwa ni mpuuzi. Ukimuona mtu anampinga JPM jua ni mpuuzi

Unaachaje kumpinga mtekaji, muuaji na jizi la kura?
 
Aliwatandika risasi waliokuwa wanataka kumkwamisha kama mpuuzi Tundu Lissu. Hii ipo katika utawala wa nchi ili isonge mbele. Nakujua ulikuwa humpendi ingawa matunda yake unayafaidi
 
Cha msingi jiwe limeoza na Bashite anaishi kwa timing kama digidigi na Sabaya yupo jela. Endelea kupambania legacy. Iam a lawyer by professional na nmesoma darasan topic inayoitwa statutory interpretation... Hivyo nnajua maana ya neno right to life as provided by our mother law( Constitution) as opposed to what you are trying to justify your deceased's shit. Over
Bush lawyer!
 
Aliwatandika risasi waliokuwa wanataka kumkwamisha kama mpuuzi Tundu Lissu. Hii ipo katika utawala wa nchi ili isonge mbele. Nakujua ulikuwa humpendi ingawa matunda yake unayafaidi

Yeye ndio alikuwa anafaidi kodi yangu. Alikuwa anakwamishwa au alikuwa ana ulimbukeni wa madaraka.
 
Llb mzumbe,Llm Capetown S.A, leeds University Uk. Halafu nale nsukuma gete gete . Ila simpendi the so late dictator uchwara.
Just as money cannot buy class, so do learning institutions not sell intellect.
 
Teh😀! Sasa na wew uelewe hizi kelele zote unazozisikia sasa,zisingewezekana those days sababu ya kutekana,kutesana na kuuwana. Huyo Zitto and the like wasingethubutu kufungua midomo. Halafu nisaidie kujua kosa la former Cag Prof Assad ili tuwe na uelewa wa pamoja(meeting of mind)
 
Yeye ndio alikuwa anafaidi kodi yangu. Alikuwa anakwamishwa au alikuwa ana ulimbukeni wa madaraka.
Kusema za ukweli alikuwa anapenda kuendeleza hii nchi ila shida ni kuwa aliifanya Tanzania kama familia yake. Akatumia nguvu nyingi na ukiipinga Tanzania ni sawa na kumpinga yeye binafsi. Hilo lilikuwa ni kosa lake kubwa. Huu upepo wa kumkandia kama afanyavyo Zitto, utaisha kama upepo wa kisurisuri na mwisho miaka kama 10 ijayo, watu wawili watakuwa ni heros hapa TZ (Nyerere na Magufuli).
 
Du
Ninajiuliza:

• Ni kwamba mama ameona hajafanya chochote ndani ya mwaka wake mmoja as compared na mwaka mmoja wa Magufuli; hivyo akaamua ku-divert attention ya watu kutoka kujadili upungufu wake hadi kumtetea na kumshambulia Magufuli?

• Ni wazi hakuna Waziri ambaye hapendwi tangu tupate uhuru kama January. Je, Zitto (swahiba na mpigaji mwenzie) na wenzao wameona wabadilishe mjadala kutoka kujadili uzembe unaoendelea Wizarani hadi kumshambulia Magufuli knowing Wananchi wata-concentrate zaidi kumtetea Magufuli kuliko kuwashambulia wao?

• Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?

• Sote tunajua wanaojiita watoto wa mjini siyo smart sana kama wanavyojidhania; au ni upepo tu umewapitia na hivyo bahati ipo upande wao?

Vyovyote iwavyo, wanastahili pongezi. Wamefanikiwa kutuhamisha kwenye mijadala yenye masilahi ya nchi kuanzia uendeshaji hovyo wa wizara ya Nishati na Madini, matumizi mabaya ya rasilimali kwa waziri kwenye suala la anuani za makazi, mpaka ziara ya mkuu nje ya nchi kwa zaidi ya week sasa, and still counting.

Mpaka sasa Sukuma Gang 0 - 3 Msoga Gang

Hongera zao sana. 😁

Muwe na Alhamisi njema.
Duh, umepiga za USO !!
 
Teh😀! Sasa na wew uelewe hizi kelelezo zote unazozisikia sasa,zisingewezekana those days sababu ya kutekana,kutesana na kuuwana. Huyo Zitto and the like wasingethubutu kufungua midomo. Halafu nisaidie kujua kosa la former Cag Prof Assad ili tuwe na uelewa wa pamoja(meeting of mind)
Those are mere unproven opinions from his critics.

Regarding Former CAG: he was shrugged off by the MPs whom he'd lambasted as weak!

He has himself to blame, why should this be shouldered on Magufuli?
 
Back
Top Bottom