Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

• Zimbabwe wamekamilisha na au wanajenga megaprojects kama alivyofanya Magufuli?

• Zimbabwe walifanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kama alivyofanya Magufuli?

• Zimbabwe wanaweza kushughulikia matatizo makubwa yanayoikumba dunia kama alivyofanya Magufuli kwenye UVIKO-19?

• Zimbabwe wanaweza kurudisha ueledi kwenye utumishi wa umma kama alivyofanya Magufuli.

Note: 🇿🇼 = Awamu ya sita
Hii nchi ina mipumnavu michache kama Sang'udi na ndiyo inafanya tudharauliwe.

Hoja za kipumbafu sana hizi, na yeyote anayeziunga mkono ana akili ndogo kama PIRITONI.

Yaani yule DIKTETA ali- misuse raslimali za nchi kwa kwenda kujenga miundombinu mikubwa kuliko mahitaji halisi ya kitongoji cha Chato, isitoshe kila alichofanya hakikuwa na approval ya Bunge,
 
Kwani wewe ukisikia life/maisha unaelewa nini?

Mtu aliyechagua kuishi kama shoga, ukaingilia uamuzi huo that is as well denying him of the right to life.

Makonda alizuiwa kuingia Marekani kwa kuwa alipambana na nyie mashoga. Period.

Soma kwa umakini these two last paragraphs za attachment.

View attachment 2195314
Mbona hata Makonda mwenyewe ni shoga? Alipambanaje na mashoga wakati yeye mwenyewe anapakuliwa? Marehemu Spika Awamu ya kwanza ya JK na Mbunge wa Urambo alimhamishia nyumbani kwake kabisa kama hawara
 
Kama ni report ya CAG; mbona mwaka jana, ambapo awamu ya tano ilikuwa inahusika 100%, mashambulizi hayakuwa ya level ya uongozi wa juu kama mwaka huu ambapo pia serikali ya awamu ya sita inahusika kwa zaidi ya 30%?

Watu hawakuwa na uhuru wa kuongea, anaefungua mdomo anaikotwa kwenye kiroba
Well said
 
Kumtetea huyu, ni shida.

Hasafishiki kabisa. Mikono yake inanuka damu za watu
Ukiondoa Ben saa8,Azori na Lissu ambao mnasingizia kuwa awamu ya tano ilihusika ,je waweza kututajia hao waliyokutwa kwenye viroba ni kina nani? Je kuna familia ililalamika kupoteza ndugu ? tumieni akili.Muna owoga mpaka mnamwogopa marehemu.hahaaaaa.
 
Hao ni partners in crime.

View attachment 2195500
eeeh wajameni
1650552607009.png
1650552702839.png
 
Ukiondoa Ben saa8,Azori na Lissu ambao mnasingizia kuwa awamu ya tano ilihusika ,je waweza kututajia hao waliyokutwa kwenye viroba ni kina nani? Je kuna familia ililalamika kupoteza ndugu ? tumieni akili.Muna owoga mpaka mnamwogopa marehemu.hahaaaaa.
Pole sana
 
Kusema za ukweli alikuwa anapenda kuendeleza hii nchi ila shida ni kuwa aliifanya Tanzania kama familia yake. Akatumia nguvu nyingi na ukiipinga Tanzania ni sawa na kumpinga yeye binafsi. Hilo lilikuwa ni kosa lake kubwa. Huu upepo wa kumkandia kama afanyavyo Zitto, utaisha kama upepo wa kisurisuri na mwisho miaka kama 10 ijayo, watu wawili watakuwa ni heros hapa TZ (Nyerere na Magufuli).

Magufuli awe hero wa nchi hii, labda kama una mitazamo ya kimaskini.
 
Ujinga nimzigo,mnapambana na marehemu kipumbavu sana hojazenu ninyepesi kiasi kwamba hata asipokuwepo mtuyoyote anaweza kuwapinga kirahiai sababu 24/7 mkishindwa hoja mnaanza kutaja watu wawili ama watatu lisu anaeficha ushahifi "dereva" na sanane, haohao.

Mkiulizwa vipi kuhusu Mvungi na mauwaji ya kibiti mbona hamlalamiki kwauzito huo mnazungusha machotu.

Magu hatachafuka kipumbavu mtapiga makelele mbaka 2025 hakuna atakaesikiliza upuuzi wenu.

Magu hatachafuka kwani alikuwa msafi?
 
Soma ripoti ya CAG uone wizi na ubadhirifu uliofanywa na Mwendakuzimu kuzimu na genge lake laTan Roads
Miaka ya nyuma wizi na ubadhirifu huu ulifichwa kwa makusudi baada ya Magu kumtumia Ndugai kumuondoa mtu muadlifu asiyetetereka Prof Assad sasa MAMBO HADHARANI .
Kama ulitegemea Mama arithi uchafu wa wezi wa Washamba/Sukumagang umeula wa chuya
Washamba mmepigwa na kitu kizito na watoto wa mjini kiasi mnakimbilia Umoja Party huku hamjui ni mtoto atakayezaliwa MFU
Kaka hebu kua hata na aibu huwezi jua hata hii lipoti ya CAG imepikwa kwa ajiri ya kumchafua JPM...Hivi kwa akili zako tu miradi yote alio acha mwendazake imekamilika ...huyu mama mkimpa hata miaka 50 hawezi fikia hata robo jamaa kafanya mambo mengi sana....mm nakupa mfano mdogo tu hapa kigamboni kuli kua na boti mbili mbovu hatari lakini alipo ingia jamaa akajenga mbili mpya na moja akailekebisha ....nenda sasa hivi utalia vilivo baada ya kuondoka tu mwenda zake ..[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Wafisadi, wauza madawa ya kulevya, walioghushi vyeti na majangili hawataki kusikia mema ya Magufuli kabisa. Sijui wanataka tuwe na taifa ovu kiasi gani!!!
Hawa watumwa wenye ID zao mbilimbili ndio wanatumwa kujaribu kupima upepo na kwabahati hojazao niza kijinga hazina fact yoyote.

Wanateseka sana na kivuli cha magu, nimtu mjingatu ndio anaweza kutumia nguvu kupambana na marehemu kiumbe ambacho hakina uhai yani nisaeasawa kama kupigana na ukuta.

Hawa wajinga ningewaona wana akili kama nguvu wanazo tumia kupambana na kaburi wangezitumia kudai katiba mpya ili hatauo uongowao angalau upate mashiko kwamba hawataki wanachosema kitokee tena kwa kubadilisha katiba iliyopo.
 
Shetani yule. Tunamshambulia Ili nyie ndugu zake mlionufaika na uovu wake muumie.

Hakika familia yake itapata tabu sana.

Itakataliwa popote mpaka mbinguni.

Muuwaji amekataliwa mbinguni na duniani
Maneno kama hayo yanadhihirisha kichwani kwako hamnakitu zaidi ya stress, ujinga, na nimtu uliekata tamaa.
 
Back
Top Bottom