Mashambulizi dhidi ya Magufuli: Michezo au upepo wa kisiasa?

Wauza madawa ya kulevya wawili wanajifariji!

Dhambi zipi hizo zinafichwa au kufunikwa?
 
Bush lawyer!
Amekwambia uende kwenye statutory interpretation, Ukiingia hata kwenye Katiba Yetu Right to life iko wazi kabisa, na ndio maana tunasema Penal code inayotoa adhabu ya kunyongwa kwa murder case inakinzana na Katiba ya JMT
 
Wauza madawa ya kulevya wawili wanajifariji!

Dhambi zipi hizo zinafichwa au kufunikwa?
Ndugu,
Yawezekana ulikuwa unafaidika na matendo ya kidikteta. Hata hivyo kujitoa ufahamu hakutaweza kukusaidia wewe wala hakutamsaidia huyo nabii wenu. Katiba mpya yaja na wewe na aina yako mtatibiwa na kushiriki katika kulijenga upya TAIFA letu lililojaa vidonda vilivyotokana na udhalimu wake pamoja na mifumo ya hovyo. Safari ya kuisafisha nchi hii imeshaanza.
 
Yale Ni makazi ya Viongozi walikuwa wanakaa Lissu,Naibu Spika,Kalemani yanalindwa masaa 24,
 
Kuna watu wanafumbaga macho wakiandika post za kuhusu hayati wa chato ili tu kumtete mkabila mwenzao,kiufupi tu hakuna serikali isiyopiga pesa na rasilikali za nchi (yaani kujinufaisha wao kwa wao) kilichokua kinaumiza watu kwa bwana jiwe ni ule ubaguzi na ukatili aliokua nao japo marehemu asemwi (M/Mungu atusamehe Sana).
 
Amekwambia uende kwenye statutory interpretation, Ukiingia hata kwenye Katiba Yetu Right to life iko wazi kabisa, na ndio maana tunasema Penal code inayotoa adhabu ya kunyongwa kwa murder case inakinzana na Katiba ya JMT
What is life?
 
Haya ndio maovu ya awamu ya tano?
 
Wakati report ya mwaka jana inatoka Rais alikuwa nani?
 
Wakati report ya mwaka jana inatoka Rais alikuwa nani?
Hata ningekua Mimi, Soma vizuri post yangu halafu lete swali lako narudia tena '' hakuna serikali isiyokula pesa na rasilimali za nchi nenda kote duniani utayakuta haya tunajua hata hawa walio Sasa wanafanya haya Ila jiwe ukabila na ukatili ulimzidi...haya ulitaka kusema?
 
Alikuwa na ukabila upi? Unajua kabila lake?
 
Alikuwa na ukabila upi? Unajua kabila lake?
Hiyo sukuma gang imetokana na nini?..... ulishawahi kusikia msoga gang enzi za jakaya, makua gang enzi za mkapa, zaramo/Zanzibar gang enzi za mwinyi au Zanaki gang enzi za mwalimu watu hawaropokagi wanachukuza wanapata uthibitisho wanaturejeshe majibu.
 
Wapigaji na waovu wote hakuna jema wanaloweza kuliona kwa JPM.
Tueleze jema alilofanya kwa wananchi wengi hasa wa mikoani, RUVUMA, LINDI, MTWARA, SINGIDA, KIGOMA, RUKWA, NJOMBE nk tuambie amefanya nini la maana.?
 
CCM wana watu wamesomea siasa mkuu.
Wameamua kuanzisha hiyo ligi maksudi ili wanasiasa wa vyama vingine wasiendelee na mambo yao ya siasa wawasikilize CCM kwamba wana mgogoro.
 
What is life?
Katiba imetoa haki ya kuishi, ndiyo maana wale kina jebra walivyoenda mahakamani kuhoji adhabu ya kunyongwa walitumia Katiba na Penal code,na mikataba ya kimataifa inayotoa haki ya kuishi, Penal code inasema mtu akikutwa na hatia ya kosa la kuua kwa kukusudia atanyongwa, wakati Katiba inatoa haki ya kuishi hence mkanganyiko
 
Niliwahi kusikia wakwer(l?)e wanatajwa sana. Magufuli alikuwa msukuma!!?
 
Tueleze jema alilofanya kwa wananchi wengi hasa wa mikoani, RUVUMA, LINDI, MTWARA, SINGIDA, KIGOMA, RUKWA, NJOMBE nk tuambie amefanya nini la maana.?
Alituingiza uchumi wa kati kabla ya wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…