Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli

Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400.

Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na Maendeleo inaonyesha 59% wanaunga mkono shambulio hilo.

Asilimia 16 ya ziada ilionyesha usaidizi, huku 11% ikisalia kutoegemea upande wowote.

Chanzo: Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti (PVP)
=========================
🚨 Shocking Poll: 75% of Palestinians Support Deadly Oct 7th Attack on Israel

Only 13% of Palestinians oppose the Oct 7th strike on Israel, resulting in 1,400 deaths.

A poll by Arab World For Research and Development shows 59% strongly support the attack.

An additional 16% expressed some support, with 11% remaining neutral.

Source: Arab World for Research (PVP)
 
Attachments

  • IMG_7305.jpeg
    IMG_7305.jpeg
    25.5 KB · Views: 2
Kwani kusudio la Israel ni nini? Tuanzie hapo kwanza.

Nani amesema kuwa Israel anataka kuungwa mkono na wapalestina ili kuwamaliza Hamasi?.

Israel mwenyewe anatamani kusikia kuwa wapalestina wote ni Hamasi ili kazi kwake iwe rahisi kwa kushusha vitu vizito toka angani na kuwamaliza wote.
Hebu angalia jinsi sasa Israel anavyopata kazi katika hii vita sababu imemlazimu kupeleka vikosi vya aridhini ili kuepusha vifo vya wasio Hamasi ila kama Palestina wote ni Hamasi basi hii vita haitamaliza ata siku nzima na mchezo utakuwa umekwisha.

Hiyo asilimia 13 waambieni na wenyewe wajiunge na Hamasi sababu wao ndio wanachelewesha kazi kuisha mapema
 
Hao wanaowanyanyasa ni majambazi kama yalivyo mamarekani🤪
 
Kwani hii vita mbona inagusa sana watu yani unalikuta lijitu linatetea ujinga na jengine linakandamiza upuuzi vita vya israil na palestin havikuhusu wewe sisi tuendelee kujifukiza2
 
Kwahiyo kwa ufahamu wako wewe unaamini hao waarabu waliofanya utafiti? Huoni kuwa ni sawa na kesi ya nyani hakimu kuwa ngedere?
 
Kwani kusudio la Israel ni nini? Tuanzie hapo kwanza.

Nani amesema kuwa Israel anataka kuungwa mkono na wapalestina ili kuwamaliza Hamasi?.

Israel mwenyewe anatamani kusikia kuwa wapalestina wote ni Hamasi ili kazi kwake iwe rahisi kwa kushusha vitu vizito toka angani na kuwamaliza wote.
Hebu angalia jinsi sasa Israel anavyopata kazi katika hii vita sababu imemlazimu kupeleka vikosi vya aridhini ili kuepusha vifo vya wasio Hamasi ila kama Palestina wote ni Hamasi basi hii vita haitamaliza ata siku nzima na mchezo utakuwa umekwisha.

Hiyo asilimia 13 waambieni na wenyewe wajiunge na Hamasi sababu wao ndio wanachelewesha kazi kuisha mapema
Wewe wavaa pampas wanapata tabu sana huko battlefield nyamaza tu
 
We jamaa una akili sana
 
Kawasaidie kuwaokoa Mateka waliobakia kuandika gazeti ni rahisi sana jana Hamas kawambia mateka waliobakia ni wanajeshi kama wanaweza wakawakomboe.
 
Wewe wavaa pampas wanapata tabu sana huko battlefield nyamaza tu
Breaking | A Pentagon official informs Al Jazeera that a Yemeni ballistic missile has landed near a commercial ship in the Red Sea. Hebrew sources indicate that the ship sustained damage and is partially owned by an Israeli company.
 
Hii vita itachukua muda mrefu kumalizika! Pamoja na kwamba US n UK wanaisaidia Israel bado shughuli ipo!
 
Hao hamas wamewasaidiaje hao wanaowaunga mkono? Hamas, waunga mkono na wasiounga mkono wote wanakula mkong'oto.
 
Kawasaidie kuwaokoa Mateka waliobakia kuandika gazeti ni rahisi sana jana Hamas kawambia mateka waliobakia ni wanajeshi kama wanaweza wakawakomboe.
Mateka walobaki 140 ila sasa siku 2 tu hizi tumepasua watoto wa mwamedi 700 lengo ni kuwafanya watoto wa ma mdogo wafe kama nzi
 
Halaf hao wauaji wenyewe wataishi milelee [emoji3][emoji1787][emoji3]
 
Mateka walobaki 140 ila sasa siku 2 tu hizi tumepasua watoto wa mwamedi 700 lengo ni kuwafanya watoto wa ma mdogo wafe kama nzi
Muisrael mweusi wa Kimara Temboni anatamba.
 
Akili za kuandika kwenye Tecno huku umejificha chumbani hizo akili zenu kawasidieni mabwana zenu kuokoa mateka waliobakia.
Sawa mpalestina wa msanga. Akili yako iko matakoni
 
Back
Top Bottom