Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

Wanaukumbi.

🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli

Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400.

Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na Maendeleo inaonyesha 59% wanaunga mkono shambulio hilo.

Asilimia 16 ya ziada ilionyesha usaidizi, huku 11% ikisalia kutoegemea upande wowote.

Chanzo: Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti (PVP)
=========================
🚨 Shocking Poll: 75% of Palestinians Support Deadly Oct 7th Attack on Israel

Only 13% of Palestinians oppose the Oct 7th strike on Israel, resulting in 1,400 deaths.

A poll by Arab World For Research and Development shows 59% strongly support the attack.

An additional 16% expressed some support, with 11% remaining neutral.

Source: Arab World for Research (PVP)

Hata hao wasiopinga nyuma ya keyboard na fake ID ambako ndiko kuliko na maoni authentic wanaunga mkono kipondo cha Oct. 7.
 
Mateka walobaki 140 ila sasa siku 2 tu hizi tumepasua watoto wa mwamedi 700 lengo ni kuwafanya watoto wa ma mdogo wafe kama nzi

Kwa hiyo sasa baada ya hao 700 mateka wake huru?
 
Kwani kusudio la Israel ni nini? Tuanzie hapo kwanza.

Nani amesema kuwa Israel anataka kuungwa mkono na wapalestina ili kuwamaliza Hamasi?.

Israel mwenyewe anatamani kusikia kuwa wapalestina wote ni Hamasi ili kazi kwake iwe rahisi kwa kushusha vitu vizito toka angani na kuwamaliza wote.
Hebu angalia jinsi sasa Israel anavyopata kazi katika hii vita sababu imemlazimu kupeleka vikosi vya aridhini ili kuepusha vifo vya wasio Hamasi ila kama Palestina wote ni Hamasi basi hii vita haitamaliza ata siku nzima na mchezo utakuwa umekwisha.

Hiyo asilimia 13 waambieni na wenyewe wajiunge na Hamasi sababu wao ndio wanachelewesha kazi kuisha mapema
[emoji16][emoji16][emoji16] nzuri hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaf hao wauaji wenyewe wataishi milelee [emoji3][emoji1787][emoji3]
Dah mkuu hapa umeandika kwa uchungu sana, japo umejitutumua kutoa kicheko hafifu. Kauli za namna hii huwa zinatolewa na watu waliokata tamaa. The kicks of a dying horse

I can feel your pain. Pole sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom