Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

Yemen ndo sehemu pekee iliyobaki ambayo Iran ana ushawishi kupitia hao magaidi wakiwemo wa Houth. Nchi nyingi za Kiarabu haziipendi Iran na Iran kwa sasa amedhoofu baada ya Hezbollah kupigwa na Assad kuondolewa. Nchi zinaweza kutumia huu mwanya kupiga majamaa ya Yemen ili kui cripple kabisa Iran. Baada ya hapo ni Iran yenyewe itafuatia

Ikumbukwe:-
  • Hezbollah hawana nguvu tena
  • Russia hawezi kusaidia Iran naye ana shida zake kwa sasa
  • Missile production ya Iran ilikuwa crippled wakati wa shambulio la Israel
  • Israel baada ya kudeal blow kwa Hezbollah, Hamas na Assad kuanguka sasa ana nguvu na morali anatamani ammalize kabisa Iran
  • Assad kaanguka na serikali ya sasa ya Syria imeishaionya Iran isiingilie masuala yake
  • KUBWA zaidi Trump karudi madarakani na hapepesi macho kwa Iran, ndo maana Iran kabla ya uchaguzi walikuwa wanafadhili sana hackers wavuruge kampein za Trump
Iran sasa ajipange ila tumalize kwanza hao ma proxies wake
 
Huu ndio mwisho wa Houth kutawala Yemen Usifikir kwamba Saudia Yuko peke yake, huo ni mpango wa US, Israel na nchi za MAGHARIBI wakishindwa kumuondoa Houth mara hii basi wasahau daima.
Huwajui wayemen!
 
Tusubiri tuone!
 
Kobaz ni pumbavu sana, kanchi kadogo km mkoa wa Tanga tu.
Wakishiba urojo basi aah wanawaza kwenda kuteka meli pale panama canaly.
Wanachofanya ni uharibifu tu hamna vita.
 
Saudia jeshi lake nidhaifu naningumu kuhimili mapigano yamuda mrefu nayaaridhini ndomaana hata akirudi Hana jipya lakumnyamazisha houith
 

View: https://x.com/TheHarrisSultan/status/1871800956142387604
 
Middle East haitakuwa huru kamwe.
Nafikiria Houthis wakianza rusha BM zao hapo Saudi itakuwaje
Wakithubutu, wajue wameichongea Iran, imaliziwe kabla ya muda wake kufika
 
Hakuna taifa la Kiislam lenye linaweza kurusha makombora Saudia, wana amini Saudia ni taifa takatifu kwao. Hata Iran akitaka kuipiga Saudia, atapiga visima vya mafuta nk, hawezi kupiga mji wowote
Mpuuzi wewe ,unajua hao Houthis walifanya nini kwenye mitambo ya kuchakata mafuta na visima vya mafuta vya Saudi Aramco 2018 ?
 
Mpuuzi wewe ,unajua hao Houthis walifanya nini kwenye mitambo ya kuchakata mafuta na visima vya mafuta vya Saudi Aramco 2018 ?
Usitumie matusi, mwenye busara amgetafutia thread hapa JF kama ipo ama hiyo taarifa kwenye mitandao mingine unaiweka hapa ili afahamu ywye na wenhgne.

GOD BLESS ISRAEL
 
N
Usitumie matusi, mwenye busara amgetafutia thread hapa JF kama ipo ama hiyo taarifa kwenye mitandao mingine unaiweka hapa ili afahamu ywye na wenhgne.

GOD BLESS ISRAEL
Sasa unavyoandika Houthis hawawezi kupiga Saudia ulikuwa unajua unachoandika ?
Acha upumbavu ninyi wanywa mafuta na michanga ya manabii na wachungaji feki
Fools
Fanya utafiti kabla ya kuandika ,hapa si facebook
Swine
 
Habari mkuu vipi safari hii senene ntapata wa kutosha kutoka kule mkoani kwako wanapopatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…