Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Yemen ndo sehemu pekee iliyobaki ambayo Iran ana ushawishi kupitia hao magaidi wakiwemo wa Houth. Nchi nyingi za Kiarabu haziipendi Iran na Iran kwa sasa amedhoofu baada ya Hezbollah kupigwa na Assad kuondolewa. Nchi zinaweza kutumia huu mwanya kupiga majamaa ya Yemen ili kui cripple kabisa Iran. Baada ya hapo ni Iran yenyewe itafuatia
Ikumbukwe:-
Ikumbukwe:-
- Hezbollah hawana nguvu tena
- Russia hawezi kusaidia Iran naye ana shida zake kwa sasa
- Missile production ya Iran ilikuwa crippled wakati wa shambulio la Israel
- Israel baada ya kudeal blow kwa Hezbollah, Hamas na Assad kuanguka sasa ana nguvu na morali anatamani ammalize kabisa Iran
- Assad kaanguka na serikali ya sasa ya Syria imeishaionya Iran isiingilie masuala yake
- KUBWA zaidi Trump karudi madarakani na hapepesi macho kwa Iran, ndo maana Iran kabla ya uchaguzi walikuwa wanafadhili sana hackers wavuruge kampein za Trump