Mashambulizi ya Iran huko Iraq yamuua mmoja kati ya matajiri wakubwa wa Iraq

Sasa huyo tajiri anakosa ghan?
Najua umefurai kwa kusikia tajiri alie uwawa alikuwa anafpeleka mafuta israel sio!?
Tazama clip nimeweka juu huko uone na vyanzo na imesema nini.

Unadandia basi kwa mbele.
 
Sasa huyo tajiri anakosa ghan?
Najua umefurai kwa kusikia tajiri alie uwawa alikuwa anafpeleka mafuta israel sio!?
Mpaka unatumiwa mzinga n dhahiri aliiingia kwenye anga za watu kichwa kichwa.

Kipindi cha vita ni msimu wa mavuno kwa wafanya biashara ila unatakiwa uishi kimkakati haswa.
 
ni tajiri mkubwa sana wa Kiyazid aliyekuwa anasupply mafuta Israel. Yazid wamekuwa kwenye mateso makubwa sana kwa miaka mingi huko kisa tu kwasababu sio waislam. wana dini zao za asili. hata ISIS waliwachinja wengi na wanawake wao walikuwa wanauzwa kama bidhaa kwenye gulio na wengi walikuwa watumwa wa ngono. unanunua mwanamke na kumfanya mtumwa, zana ya kumfanay ngono tu. na wanasema dini inaruhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…