Mashariki ya kati yasema hawataiokoa Ulaya pindi wakijizuia kununua gesi ya Urusi

Hiyo mitambo inegunduliwa na wazungu. Wao ndio wanajua issue ya kusafirisha na kuongeza uzalishaji watadili nayo vipi.
 
Yaani India anaenunua Gas na Mafuta ya mrusi alafu India hiohio ikazibe gape la Ulaya[emoji23][emoji23][emoji23], ukiambiwa changanya na zako, kwanza India hatotaka kumkera mrusi kwa sababu wana mkataba wa silaha wa mabilioni ya hela, India hatoingia hii vita msijidanganye na kujipa moyo
 
Ikibainika Kuna mkono wa muUSA apo Russia lazima apige pin kuuza mafuta kwenye Izo Kampuni ..Urusi siyo wazembe kiasi hicho
 
Hii ni sijui nikuambieje. Yaani kisa mind yako iko ivyo Basi lazima huo mstari uone kuwa unafanana na kinachotokea huko urusi na ukraine.ila kumbuka Ile siku Hakuna aijuaye malaika mwana Wala Nani Ila baba pekee
 
Siku ya mwisho hakuna haijuaye na Hilo sikatai ila matukio kabla ya siku ya mwisho yapo wazi na Biblia haijaweka wazi yatotokea lini lakini kwa wenye hekima wanafahamu wakati ndio sasa
 
Siku ya mwisho hakuna haijuaye na Hilo sikatai ila matukio kabla ya siku ya mwisho yapo wazi na Biblia haijaweka wazi yatotokea lini lakini kwa wenye hekima wanafahamu wakati ndio sasa
Sasa iyo hekima how do you measure ama ndio kusema kuwa wewe unayo. Don't complicate life. Pia kumbuka kama hao wazungu na waarabu wasingekuja afrika sjui ungeyajua haya.
Vipi wachina wahindi wajapan wakorea so wao dini Yao inasemaje mkuu
 
Haya waghalatia
 
Biblia haijaandikwa Leo iliandikwa zamani. Lugha iliyotumika ya maeneo ni majina ya zamani. Iraq zamani ilikuwa inaitwa babeli, uturuki Asia ndogo, Iran uajemi. Hakuna suala la source ni kujuwa history tu
Historia ya hisia tu
 
Leta source hisia zako zitumie kwa familia yako
 
Shukran MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu waje Afrika na Asia waachane na hao wa kujilipua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…