Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji.

👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji.

👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁.
Eti ni lazima Niki wepo nitoke nke ili nizungumze na waliopo- 😁

👉Haya we ni sheria ipi ya ajabu uli wahi pewa na mwenye nyumba?

 
Hapa nataka mabachela tu ukiowa ondoka ckutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…