Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

Tv alikuwa nayo ila haikuwa na dish walikuwa wakiangalia CDs tu.
Eneo lile nyumba zilikuwa shida sana hivyo nilipaki mzigo tangu miaka hiyo ya 2007/8 na sikuwahi kufunga tena lile dishi
Alikuwa na roho mbaya, sema kukosa ubunifu tu- unge funga hata kwa kuweka juu ya mbao!
 
Mwenye nyumba wangu nna miezi 6 sasa sijawahi muona wala ongea nae.
nyumba kaniachia tu kasema nihakikishe USAFI unafanyika mda wote😅😅😅
 
Ohh ni sawa, Ila kwani hapaswi kukaa eneo la nyumba yake??
Kunyimana uhuru tu.

Na maneno yasiyoisha. Hasa wenye nyumba wenye tabia za kiswazi.

Na kama nyumba ya kushade umeme na maji na mwenye nyumba ndio kabisaa mtakoma kuringa!! [emoji28]

Mimi nimepanga ila pia ni co-owner wa nyumba ya kupanga sehemu nyingine. Huwa naibuka kwa wapangaji mida ya Kodi tu kukusanya changu. Mida ya maokoto.Hapo katikati Wala hawanioni Sina time nao. Labda kusettle disputes kama zitatokea.
 
Back
Top Bottom