Masharti magumu Elon Musk huwapa wanawake wanaomzalia watoto.

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Elon Musk tajiri namba moja duniani na boss wa Tesla huwapa masharti wanawake ambao anawabebesha mimba.

Sharti la Kwanza kutotangaza mimba. Na kujifungua kwa njia ya opereshen C-section. Na kama Mtoto wa kiume asitahiriwe.

Elon Musk anaamini Mtoto akizaliwa Kwa njia ya C-section anakuwa na akili sana Kwa Kuwa na ubongo mkubwa. Vile vile Mtoto asipotahiriwa.

Makubaliano hayo yasiyo rasmi yanaendana na kupewa dollar za kimaerekani million 15 halafu kila mwezi unalipwa 100k hadi Mtoto afike Miaka 21.

Ila huyu mwanadada wa kiyahudi Ashley st. Clair hakuendana na masharti ya Elon Musk na kuamua kumzalia Elon Mtoto wa kiume February mwaka huu Kwa njia ya kawaida na kumtahiri Mtoto baada ya siku nane.

Kitendo hicho kilimkasirisha Elon Musk na kuamua kukata mawasiliano na kusababisha mwanadada huyo kumuumbua hadharani na kuweka wazi kinachoendelea.

Pia inasemekana Elon Musk anachagua Kwa makini anayetaka kumzalia watoto.

Anapendelea wanawake wembamba wazungu wenye macho ya blue.

Licha ya hela zake nyingi kuna wanawake wengi amewatokea wamzalie watoto lakini wamempiga Chini Na kumkataa.
 
Huyu anaanza kuchizika hata kama anazo. Nadhani ni laana ya baba yake.
 
Napenda itikadi yake ya kuwa na Watoto wengi, Utasema sio Mzungu

Wakati huku wengine Bongo Kwa uoga wa maisha tunafyatua wamezidi sana watoto watatu

Na ukitembea nje, sharti la kwanza Kwa mchepuko ni ole wake akubebee mimba 😜
 
Back
Top Bottom