Masharti magumu Elon Musk huwapa wanawake wanaomzalia watoto.

Masharti magumu Elon Musk huwapa wanawake wanaomzalia watoto.

Kama unajali afya na makuzi ya baadaye ya mtoto, kuzaa kwa operation ni muhimu hususan siku hizi ambazo wakunga hawana ÜTÜ!
 
Napenda itikadi yake ya kuwa na Watoto wengi, Utasema sio Mzungu

Wakati huku wengine Bongo Kwa uoga wa maisha tunafyatua wamezidi sana watoto watatu

Na ukitembea nje, sharti la kwanza Kwa mchepuko ni ole wake akubebee mimba 😜
Kuna wazungu pori
 
Kuna wazungu pori
Nimeshangaa Trump pia, naye ana watoto 5 utasema sio Mzungu 🙌

Huku Bongo akina siye tumepata watoto wengi labda 2 ama 3 Kwa kuogopa kukosa ada 🤗
 
Back
Top Bottom