min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kabisa heron kama heroniEroni Maksi 😂😂😂
Kabisa heron kama heroniEroni Maksi 😂😂😂
Tajiri hanuniwi wala kusengenywa.Mambo tunayopenda maskini kuteta matajiri 😹😹
Acha kuniabisha basi mgerasiYesuuu kiaje madame?
Matajiri wote tunawajuaMambo tunayopenda maskini kuteta matajiri 😹😹
B wangu 😍Matajiri wote tunawajua
Utasikia huyo jamaa tulikuwaga naye kijiwen tu hapa kwenye kahawa
Umenitenga beibe wangu lamomyB wangu 😍
🤣 Unatoa laana kwa bilioneaHuyu anaanza kuchizika hata kama anazo. Nadhani ni laana ya baba yake.
Sio kweli B wangu jamani..!! 😍Umenitenga beibe wangu lamomy
NasubiriAmeniiiiii
Masharti unayo, hela unazo?Hao masharti mimi ninayo kitambo tu, kwa hiyo kwangu ni marudio tu.
Kabisa nilikuja kule nikakuta kufuri kubwaSio kweli B wangu jamani..!! 😍
Mwambie huyoAcha kuniabisha basi mgerasi
Yep. Kwani yeye ni nani asilaaniwe wakati ashalaaniwa? Na alaaniwe yeye na Trump wake.🤣 Unatoa laana kwa bilionea
Yaani nikimpata tuuu una zawadi yako nono,,,mfundishe vizuri kijana huyo
Km kuna laana basi ccm isingekuwa madarakaniYep. Kwani yeye ni nani asilaaniwe wakati ashalaaniwa? Na alaaniwe yeye na Trump wake.
Pole sana 😹😹Kabisa nilikuja kule nikakuta kufuri kubwa
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa saaamia suluuubu hasssaniKm kuna laana basi ccm isingekuwa madarakani

Limeisha hilo nipe masaa kadha tu, huyu mbona atakuita baby mda si mrefuYaani nikimpata tuuu una zawadi yako nono,,,mfundishe vizuri kijana huyo