Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 May 9, 2025 #41 Lamomy said: Pole sana ๐น๐น Lile kufuli la milele huwezi kupenya..!! Click to expand... Huzuni juu yangu
Lamomy said: Pole sana ๐น๐น Lile kufuli la milele huwezi kupenya..!! Click to expand... Huzuni juu yangu
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,647 Reaction score 23,282 May 9, 2025 #42 Beira Boy said: Limeisha hilo nipe masaa kadha tu, huyu mbona atakuita baby mda si mrefu Click to expand... Can't wait wajameni
Beira Boy said: Limeisha hilo nipe masaa kadha tu, huyu mbona atakuita baby mda si mrefu Click to expand... Can't wait wajameni
N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 5,184 Reaction score 6,881 May 10, 2025 #43 Kama unajali afya na makuzi ya baadaye ya mtoto, kuzaa kwa operation ni muhimu hususan siku hizi ambazo wakunga hawana รTร!
Kama unajali afya na makuzi ya baadaye ya mtoto, kuzaa kwa operation ni muhimu hususan siku hizi ambazo wakunga hawana รTร!
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 May 10, 2025 #44 Grahams said: Napenda itikadi yake ya kuwa na Watoto wengi, Utasema sio Mzungu Wakati huku wengine Bongo Kwa uoga wa maisha tunafyatua wamezidi sana watoto watatu Na ukitembea nje, sharti la kwanza Kwa mchepuko ni ole wake akubebee mimba ๐ Click to expand... Kuna wazungu pori
Grahams said: Napenda itikadi yake ya kuwa na Watoto wengi, Utasema sio Mzungu Wakati huku wengine Bongo Kwa uoga wa maisha tunafyatua wamezidi sana watoto watatu Na ukitembea nje, sharti la kwanza Kwa mchepuko ni ole wake akubebee mimba ๐ Click to expand... Kuna wazungu pori
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 21,492 Reaction score 65,712 May 10, 2025 #45 Yoda said: Kuna wazungu pori Click to expand... Nimeshangaa Trump pia, naye ana watoto 5 utasema sio Mzungu ๐ Huku Bongo akina siye tumepata watoto wengi labda 2 ama 3 Kwa kuogopa kukosa ada ๐ค
Yoda said: Kuna wazungu pori Click to expand... Nimeshangaa Trump pia, naye ana watoto 5 utasema sio Mzungu ๐ Huku Bongo akina siye tumepata watoto wengi labda 2 ama 3 Kwa kuogopa kukosa ada ๐ค