CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Mambo yangu hayaende kabisaaaaaa!rigwaride tena basi!!
Nshachoka kugombea daladala!!sasa nahitaji nami nipate japo kamkoko kangu,nyumba nzuri beach,mke mrembo,acc yangu itune,nikitembea basi niwe full majipu,nimeambiwa suluhisho ni 'FREEMASON'plz mwenye uelewa afunguke hapa ili nijaribu na huko lol!
Maana nshasota sana na ninyi wana jamvi ni mashahidi!!!!!