Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
usijali rafiki, tutamshinda kwa mbinu nyingine....Rafiki mie siamini kwenye haya mambo ya kuchunguliana kupitia mitungini lol! au kupanda ungo.
salama lakini rafiki?
usijali rafiki, tutamshinda kwa mbinu nyingine....Rafiki mie siamini kwenye haya mambo ya kuchunguliana kupitia mitungini lol! au kupanda ungo.
usijali rafiki, tutamshinda kwa mbinu nyingine....
salama lakini rafiki?
mimi mzima kabisa rafiki...Mie nipo bomba sana namshukuru Muumba wetu rafiki, nawe ukoje rafiki!? Naangalia kidumbwedumbwe hapa cha MANC na Chelsea.
mimi mzima kabisa rafiki...
Enjoy the game.... mimi huko nina allergy
misosi sina allergy rafiki...hahahaha lol! Sina timu katika hii mechi ni shabiki tu wa Soka hivyo naangalia kwa raha zangu bila kurushwa roho. Wewe una allergy kwenye mambo ya misosi na kuruka debe :majani7:
misosi sina allergy rafiki...
ndo maana kule MMU kuna mtu kaniudhi sana eti anasema sijui nini! wewe kasome mwenyewe
kwa raha zakoHaya rafiki nafasi ikiruhusu nitapita mitaa hiyo ngoja kwanza niifaidi hii mechi sitaki kukosa lolote litakalojiri katika mechi hii.
Kwa kuwa leo ni siku ya Bwana, ngoja nikupe nukuu zifuatazo;
Maana shina moja la mabaya ya kila namna
ni kupenda fedha; ambayo wengine hali
wakiitamani hiyo wamefarakana na Imani, na
kujichoma kwa maumivu mengi.
- 1 Timotheo 6:10
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki
yake; na hayo yote mtazidishiwa.
- Mathayo 6:33
Ameen daddy...
Ngoja tumpe maupako...
Kumbukumbu la torati 8:18 "Bali
utamkumbuka Bwana Mungu wako maana
ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri. ili
alifanyaye imara agano lake alilowapa baba
zako kama hivi leo."
afu weweee. leo njoo unitembelee basi upate japo supu ya simbirisi????????????
huyo anayetaka kujiandikisha mwambie aorodheshe majina yote ya ndugu zake wa karibu na wapendwa wake then aje ajaze form nitamsaidia.jamaa kwani uoni matangazo ya waganga wanaoweza kuunganisha na freemason ....
Rafiki mie siamini kwenye haya mambo ya kuchunguliana kupitia mitungini lol! au kupanda ungo.
nina shida gani rafiki yangu upo hapa utanikingia kifua?
kwani anakuweza zumbemkuu?
nimeongeza kozi nyingine huku comoro bado sijarudi tupo katikati ya kilindi cha bahari.We mchokozi tu usianze kulia lia lakini 🙂
huyo anayetaka kujiandikisha mwambie aorodheshe majina yote ya ndugu zake wa karibu na wapendwa wake then aje ajaze form nitamsaidia.
nimeongeza kozi nyingine huku comoro bado sijarudi tupo katikati ya kilindi cha bahari.
nikirudi mtaona maujuzi yangu, teh teh teh!