CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Ebu ngoja nikachungulie kidogo alafu nirudi!Haa! CHAI CHUNGU
Tenaa,,hao jamaa,nenda jukwaa la Intelligensia (sticky issue) uwajue then uchague kutema au kumeza kaa la moto.
Sijaona mkuu,labda unielekeze.jamaa kwani uoni matangazo ya waganga wanaoweza kuunganisha na freemason ....
Hahahahahaha!Nitafute ila kuja na tumilioni tutano (5,000,000/=) nikupe mchongo mzima, then unakuwa bilionea.
Huna akili
1. Do you believe in the existance of a supreme being ( meaning a single God or other Deity that is above all ) ?
2. Are you man of high morals?
For more info: HOW TO BECOME A FREE MASON - Joining the Masonic fraternity.
kwa msaada tu ingia hapa utakuta form nawe jaza kwa ukamilifu na utakuwa tayari umejiunga na sisi.Join Freemasons » UGLQ – Queensland Freemasons (Australia) - Queensland Freemasons (Australia)
afu weweee. leo njoo unitembelee basi upate japo supu ya simbirisi????????????Ushantisha usikute we ni nusu jini,nusu mtu ndio maana unafuga wale wadudu panya buku!
cc. zumbemkuujamaa kwani uoni matangazo ya waganga wanaoweza kuunganisha na freemason ....
nina shida gani rafiki yangu upo hapa utanikingia kifua?We mchokozi tu usianze kulia lia lakini 🙂