MASHARTI na VIGEZO vya kujiunga'FREEMASON'plzzz msaada!!!!!

Rafiki mie siamini kwenye haya mambo ya kuchunguliana kupitia mitungini lol! au kupanda ungo.
usijali rafiki, tutamshinda kwa mbinu nyingine....
salama lakini rafiki?
 
Reactions: BAK
Mie nipo bomba sana namshukuru Muumba wetu rafiki, nawe ukoje rafiki!? Naangalia kidumbwedumbwe hapa cha MANC na Chelsea.

usijali rafiki, tutamshinda kwa mbinu nyingine....
salama lakini rafiki?
 
Mie nipo bomba sana namshukuru Muumba wetu rafiki, nawe ukoje rafiki!? Naangalia kidumbwedumbwe hapa cha MANC na Chelsea.
mimi mzima kabisa rafiki...
Enjoy the game.... mimi huko nina allergy
 
Reactions: BAK
hahahaha lol! Sina timu katika hii mechi ni shabiki tu wa Soka hivyo naangalia kwa raha zangu bila kurushwa roho. Wewe una allergy kwenye mambo ya misosi na kuruka debe :majani7:

misosi sina allergy rafiki...
ndo maana kule MMU kuna mtu kaniudhi sana eti anasema sijui nini! wewe kasome mwenyewe
 
Reactions: BAK
Haya rafiki nafasi ikiruhusu nitapita mitaa hiyo ngoja kwanza niifaidi hii mechi sitaki kukosa lolote litakalojiri katika mechi hii.

misosi sina allergy rafiki...
ndo maana kule MMU kuna mtu kaniudhi sana eti anasema sijui nini! wewe kasome mwenyewe
 
Ameen daddy...

Ngoja tumpe maupako...

Kumbukumbu la torati 8:18 "Bali
utamkumbuka Bwana Mungu wako maana
ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri. ili
alifanyaye imara agano lake alilowapa baba
zako kama hivi leo."
 
Kwa maneno haya najua ndugu yetu ataamua kusuka ama kunyoa...

Ameen daddy...

Ngoja tumpe maupako...

Kumbukumbu la torati 8:18 "Bali
utamkumbuka Bwana Mungu wako maana
ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri. ili
alifanyaye imara agano lake alilowapa baba
zako kama hivi leo."
 
jamaa kwani uoni matangazo ya waganga wanaoweza kuunganisha na freemason ....
huyo anayetaka kujiandikisha mwambie aorodheshe majina yote ya ndugu zake wa karibu na wapendwa wake then aje ajaze form nitamsaidia.

Rafiki mie siamini kwenye haya mambo ya kuchunguliana kupitia mitungini lol! au kupanda ungo.
nina shida gani rafiki yangu upo hapa utanikingia kifua?
kwani anakuweza zumbemkuu?
We mchokozi tu usianze kulia lia lakini 🙂
nimeongeza kozi nyingine huku comoro bado sijarudi tupo katikati ya kilindi cha bahari.
nikirudi mtaona maujuzi yangu, teh teh teh!
 
Kwi kwi kwi kwi kwi Mkuu zumbemkuu FP kishasema kaaga kwao huwezi kuona ndani hata ukae katikati ya bahari mwaka mzima lol! Kama maujuzi yako utakayorudi nayo yako bomba basi mie nakuomba uingie jumba kubwa pale magogoni ukafanye mavitus.
:fencing::fencing::fencing:

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…