HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto .
Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna sababisha uonevu kwa raia kwa askari kuzitumia wanavyotaka pasipo nidhamu ikitokea askari wametumia silaha isivyopaswa basi raia wajitetee dhidi yao
Raia waruhusiwe kumiliki silaha za moto kwaajili ya kujilinda na mafisadi na uonevu ikitokea raia kaitumia vibaya basi ahukumiwe kwa hilo.
Yaani polisi anaruka ukuta au kuvunja geti na kuingia kwenye nyumba za watu na kupiga watu kisha kuwachukua watu kwa nguvu bila uongozi wa mtaa kujua wala taarifa yoyote kwa wenzake,kweli?
Watu wanatekwa kama kuku tu kisa hawana silaha za kujitetea,kweli?