rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Ngumu Sana kumiliki silaha kinyume na Sheria zama hizi. Utakamatwa na hautarudi tena mtaani mana ni ujambazi huo. Family yenu yote utaipa msukosuko.Actualy kilichotokea kime speed up, now wata seek silaha even illigal
some of bad guys now watatumia huo mwanya