rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 6,905 Reaction score 9,740 Nov 7, 2025 #21 Detective J said: Actualy kilichotokea kime speed up, now wata seek silaha even illigal some of bad guys now watatumia huo mwanya Click to expand... Ngumu Sana kumiliki silaha kinyume na Sheria zama hizi. Utakamatwa na hautarudi tena mtaani mana ni ujambazi huo. Family yenu yote utaipa msukosuko.
Detective J said: Actualy kilichotokea kime speed up, now wata seek silaha even illigal some of bad guys now watatumia huo mwanya Click to expand... Ngumu Sana kumiliki silaha kinyume na Sheria zama hizi. Utakamatwa na hautarudi tena mtaani mana ni ujambazi huo. Family yenu yote utaipa msukosuko.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Nov 7, 2025 #22 rip faza_nelly said: Ngumu Sana kumiliki silaha kinyume na Sheria zama hizi. Utakamatwa na hautarudi tena mtaani mana ni ujambazi huo. Family yenu yote utaipa msukosuko. Click to expand... Hamna lolote. Watu kibao wanamiliki silaha kinyume na sheria na hawakamatwi. Wale majangili wanaowinda wanyama kila siku si wanatumia silaha mbona hawaishi kwa kukamatwa?
rip faza_nelly said: Ngumu Sana kumiliki silaha kinyume na Sheria zama hizi. Utakamatwa na hautarudi tena mtaani mana ni ujambazi huo. Family yenu yote utaipa msukosuko. Click to expand... Hamna lolote. Watu kibao wanamiliki silaha kinyume na sheria na hawakamatwi. Wale majangili wanaowinda wanyama kila siku si wanatumia silaha mbona hawaishi kwa kukamatwa?
Guru Dev JF-Expert Member Joined Jun 25, 2025 Posts 487 Reaction score 680 Nov 7, 2025 #23 Mbaya sana hio..ila ndio option iliyopo..wakuu huko juu tengenezeni kabla mambo hayajakua mabaya
rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 6,905 Reaction score 9,740 Nov 10, 2025 #24 hydroxo said: Hamna lolote. Watu kibao wanamiliki silaha kinyume na sheria na hawakamatwi. Wale majangili wanaowinda wanyama kila siku si wanatumia silaha mbona hawaishi kwjangili haishi maisha ya kawaida Click to expand... hydroxo said: Hamna lolote. Watu kibao wanamiliki silaha kinyume na sheria na hawakamatwi. Wale majangili wanaowinda wanyama kila siku si wanatumia silaha mbona hawaishi kwa kukamatwa? Click to expand... Watu kibao!? Jaribu uone😃jangili haishi maisha ya kawaida, jangili hakai uraiani. Shughuli zake ni porini ndani ndani hivyo kujulikana inakuwa ngumu.
hydroxo said: Hamna lolote. Watu kibao wanamiliki silaha kinyume na sheria na hawakamatwi. Wale majangili wanaowinda wanyama kila siku si wanatumia silaha mbona hawaishi kwjangili haishi maisha ya kawaida Click to expand... hydroxo said: Hamna lolote. Watu kibao wanamiliki silaha kinyume na sheria na hawakamatwi. Wale majangili wanaowinda wanyama kila siku si wanatumia silaha mbona hawaishi kwa kukamatwa? Click to expand... Watu kibao!? Jaribu uone😃jangili haishi maisha ya kawaida, jangili hakai uraiani. Shughuli zake ni porini ndani ndani hivyo kujulikana inakuwa ngumu.