Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania

Huyu MPUMBAVU alikuwa anafanya mambo ya HOVYO sana bila kufuata sheria za nchi wala mikataba ya kimataifa.

Hizo kesi zote tutashindwa tu sababu ya Dokteta Magufuli.
 
Hoja yangu kwako ndugu mjumbe ni kwamba Kuna kampuni ya uzalishaji umeme ya IPTL ilishalipwa bilioni Mia tatu na suala Lao lilifuata utaratibu wa kisheria japo kisheria cha magumashi na pesa ziligawanywa kwenye viloba na sandarusi.

Je? wizi huu na mwingine unaotumia karamu za wanasheria 10% kufanikisha matakwa ya mabeberu na hasara itokanayo na kupigania haki yako na ikafanikiwa hipi Bora?
 
Mtetezi wa wanyonge analeta hasara kwa taifa.
Alichofanya Ni Bora kuanza upya kuliko kuendelea na Julia Kwa miaka Mia ijayo,mikataba iyo ingeendelea kutugharimu mpaka tungenyoosha maelezo.

Ni mfano mtu amekuuzia gari Kwa million Kumi umemtangulizia nusu baada kuanza kuliendesha ukagungua gari iyo inakugharimu million per month ,vifaa na mafuta, sasa unaamua kuirudisha na pesa abakie nayo maana kuendelea kuwa nayo Ni kuutafuta uchizi Kwa lazima.
 
Ni maamuzi ya KIJUHA tu aliyofanya DIKTETA Magufuli. Achana nayo fuata tararaibu za kisheria tu. Ni uncivilised societies tu za stone age ndiyo hazikuwa na sheria.

Ukikiuka mkataba no matter ni wa kijinga namna gani, fuata taratibu namna ya kujitoa. Ila huwezi kumfukuza mwekezaji kama alivyofanya huyo mwehu wa Chato
 
Namba 6 tayari imeenda
 
Hizo ni deals zote watu wanalipana na kugawana, ndio maana walikua hawashindi enzi zile. Gutuka
 
Hizo ni deals zote watu wanalipana na kugawana, ndio maana walikua hawashindi enzi zile. Gutuka
Wewe ni mwongo. Usijifanye umesahau kwa nini ndege zetu za ATCL zilikamatwa South Africa na Mkulima Steyn na nyingine Canada kati ya 2017 na 2019.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…