Mashehe kuongea kiswahili kama kiarabu..!

Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉
Neno hili "BWANA AWE NANYI" ni la kiswahili,ebu msikie padre akilitamka ndio utajua sio mashehe tu hata padri nao ni ivo ivo
 
Nimecheka mpaka basi. Kuhusu walokole kuita jioni eti chioni. Hilo ni ukweli kabisa.
 
Akili ndogo mara nyingi huiga akili kubwa....sio jambo dogo mtu kuku-convice kwamba unachofanya ni cha kishenzi ila anacho fanya yeye ni cha kistaarabu...kwa hiyo waarabu na wazungu msiwachukulie poa...hivyo msiwashangae wanao waiga kuongea kwa kukosea kiswahili kama wao ni ile imani tu kwamba wameadvance kuliko sisi hivyo kuonekana kama wao mtu anjihisi na yeye amewakaribia hivyo ameadvance kidogo.
 
Hii mbona ni kawaida tu, hata makanisani, mbona huko makanisani wachungaji wanaongea kwa kubana makoromeo, kwani ndiyo kiswahili tunaongea hivyo.
 
Kwa asilimia kubwa kiswahili kinatoka na kiarabu na hata ukiangalia baadhi ya maneno yanatumika kama yalivyo kwa lugha zote mbili.
Neno kama 'shukrani...sabaa, sita, kabur... hayo ni baadhi ya maneno (kwa uchache) ambayo yanatumika na lugha zote kama yalivyo...
Kiswahili kilianzia pwani, sehemu kama zanzibar, dar es salaam n.k, na tunajua kuwa sehemu hizi ndizo zilikaliwa na waarabu so kuongea kiswahili katika lafudh ya kiarabu ni kama kukirudisha kwenye asili yake.
Emu acha uongo wako siyo kwa asilimia kubwa kama unavyolazimsha kuaminisha watu..!

Rudi darasani usome historia ya kiswahili.
 
Mkuu km hujui ni ivi kiswahil kimekopi 80% kutoka ktk lugha ya kiarabu ila tu maskul huko ktk somo la kiswahil historia ya lugha mnadanganywa tu..eti kiswahil ni kibantu hmna lolote leo ndo uamin mkuu km kiswahil kimetokana na kiarabu..so tuache masshekhe tujimwage.
Wewe ni mpumbavu namba moja hapa JF, Shaka Ssali host wa straight talk Africa VOA anaishi Marekani kwa miaka mingi, je umewahi kumsikia English yake anaongea kwa lafudhi gani? Je Wasouth Africa unawasikia English yao ni ya lafudhi gani? Je wanaijeria unaisikia English yao ni ya lafudhi gani?

Masheikh ni wapumbavu kuiga lafudhi za waarabu, ni upumbavu na upuuzi wa kiwango cha PHD, mbona kuandama kwa mwezi hawawaigi Waarabu ambao hatuna tofauti kubwa ya masaa na wanakula Idd leo?

Nonsense.
 
Hawa watu wanamambo mengi ambayo ukihoji hutapewa majibu!

Waone na wazoe hivyoivo
 
Neno hili "BWANA AWE NANYI" ni la kiswahili,ebu msikie padre akilitamka ndio utajua sio mashehe tu hata padri nao ni ivo ivo
Mpumbavu mwingine huyu hapa, rituals za kwenye ibada hazihusiani na maongezi ya mtaani, umeshawahi kumsikia Askofu Pengo nje ya ibada akiongea lafudhi ya kizungu? Jinga kabisa wewe.

Kanisani kuna nyimbo inaitwa Aleluya kuu, huo wimbo dunia nzima mkristo atakapofika melody yake ni moja tu inabadirika lugha tu maana Mungu anasikia lugha zote ila Allah ndio anasikia kiarabu tu ndio sababu masheikh wanajiami mapemanili waione firdaus, firdausi bila kiarabu hapaendeki Allah anajuwa kiarabu tu.
 
,,asante ndugu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Kwa asilimia kubwa kiswahili kinatoka na kiarabu na hata ukiangalia baadhi ya maneno yanatumika kama yalivyo kwa lugha zote mbili.
Neno kama 'shukrani...sabaa, sita, kabur... hayo ni baadhi ya maneno (kwa uchache) ambayo yanatumika na lugha zote kama yalivyo...
Kiswahili kilianzia pwani, sehemu kama zanzibar, dar es salaam n.k, na tunajua kuwa sehemu hizi ndizo zilikaliwa na waarabu so kuongea kiswahili katika lafudh ya kiarabu ni kama kukirudisha kwenye asili yake.
Utawaweza hao,wamekalia udini tu.
 
Wewe ni mpumbavu namba moja hapa JF, Shaka Ssali host wa straight talk Africa VOA anaishi Marekani kwa miaka mingi, je umewahi kumsikia English yake anaongea kwa lafudhi gani? Je Wasouth Africa unawasikia English yao ni ya lafudhi gani? Je wanaijeria unaisikia English yao ni ya lafudhi gani?

Masheikh ni wapumbavu kuiga lafudhi za waarabu, ni upumbavu na upuuzi wa kiwango cha PHD, mbona kuandama kwa mwezi hawawaigi Waarabu ambao hatuna tofauti kubwa ya masaa na wanakula Idd leo?

Nonsense.
We nawe choko kwel yan..acha ujinga mi nimezungumzia ukwel kuhusu asil ya lugha ya kiswahil ni kutokea ktk lugha ya kiarabu sasa mbn umeeingiza mambo ya udin kafir mkubwa ww...
Unaleta chuki juu ya din ya uislam kata ukubal uislam ndo dim bora ya kwel..afu kuhusu masuala ya sharia ktk mwez hujui lolote wal haikuhusu choko ww kaa kimya..ukihitaji ilimu ya masuala sharia ktk uislam kuwa mpole uliza utafahamishwa choko ww.
 
Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉
Wewe ni mpumbavu namba moja hapa JF, Shaka Ssali host wa straight talk Africa VOA anaishi Marekani kwa miaka mingi, je umewahi kumsikia English yake anaongea kwa lafudhi gani? Je Wasouth Africa unawasikia English yao ni ya lafudhi gani? Je wanaijeria unaisikia English yao ni ya lafudhi gani?

Masheikh ni wapumbavu kuiga lafudhi za waarabu, ni upumbavu na upuuzi wa kiwango cha PHD, mbona kuandama kwa mwezi hawawaigi Waarabu ambao hatuna tofauti kubwa ya masaa na wanakula Idd leo?

Nonsense.
Ndio maana siku hizi mnakuja na maneno ya kiswahili yalisioeleweka. Kuswahili ni lugha laini yenye asilimia kubwa ya maneno ya kiarabu kuliko hicho kibantu. Na kwa bahati Mhe. Rais JPM amekuwa mdau mzuri wa kiswahili. Mtakunjwa maji ya betri mwaka huu.
 
Attachments

Back
Top Bottom