ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Mbolo.....watu hawajui lugha aiseeWew itakuwa ni wale wa
Radha
Shure
Mzuli
Reo
Balafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbolo.....watu hawajui lugha aiseeWew itakuwa ni wale wa
Radha
Shure
Mzuli
Reo
Balafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Mbolo.....watu hawajui lugha aisee
Neno hili "BWANA AWE NANYI" ni la kiswahili,ebu msikie padre akilitamka ndio utajua sio mashehe tu hata padri nao ni ivo ivoHili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉
Hahahahaaa Umenichekeshino KwelinoHahhahahaa. Eti kilatino. Wauminino toenino sadakino sandukino. Li parokooo hiloooo.
swagga of the culture!Neno hili "BWANA AWE NANYI" ni la kiswahili,ebu msikie padre akilitamka ndio utajua sio mashehe tu hata padri nao ni ivo ivo
Hahahahata ni neno la kiarabu
mkuu Joseee please rudisha avatar picha tuliyokuzoea. PLEASEEEEEEEKawaida sana mkuu
Emu acha uongo wako siyo kwa asilimia kubwa kama unavyolazimsha kuaminisha watu..!Kwa asilimia kubwa kiswahili kinatoka na kiarabu na hata ukiangalia baadhi ya maneno yanatumika kama yalivyo kwa lugha zote mbili.
Neno kama 'shukrani...sabaa, sita, kabur... hayo ni baadhi ya maneno (kwa uchache) ambayo yanatumika na lugha zote kama yalivyo...
Kiswahili kilianzia pwani, sehemu kama zanzibar, dar es salaam n.k, na tunajua kuwa sehemu hizi ndizo zilikaliwa na waarabu so kuongea kiswahili katika lafudh ya kiarabu ni kama kukirudisha kwenye asili yake.
Wewe ni mpumbavu namba moja hapa JF, Shaka Ssali host wa straight talk Africa VOA anaishi Marekani kwa miaka mingi, je umewahi kumsikia English yake anaongea kwa lafudhi gani? Je Wasouth Africa unawasikia English yao ni ya lafudhi gani? Je wanaijeria unaisikia English yao ni ya lafudhi gani?Mkuu km hujui ni ivi kiswahil kimekopi 80% kutoka ktk lugha ya kiarabu ila tu maskul huko ktk somo la kiswahil historia ya lugha mnadanganywa tu..eti kiswahil ni kibantu hmna lolote leo ndo uamin mkuu km kiswahil kimetokana na kiarabu..so tuache masshekhe tujimwage.
Mpumbavu mwingine huyu hapa, rituals za kwenye ibada hazihusiani na maongezi ya mtaani, umeshawahi kumsikia Askofu Pengo nje ya ibada akiongea lafudhi ya kizungu? Jinga kabisa wewe.Neno hili "BWANA AWE NANYI" ni la kiswahili,ebu msikie padre akilitamka ndio utajua sio mashehe tu hata padri nao ni ivo ivo
,,asante nduguMpumbavu mwingine huyu hapa, rituals za kwenye ibada hazihusiani na maongezi ya mtaani, umeshawahi kumsikia Askofu Pengo nje ya ibada akiongea lafudhi ya kizungu? Jinga kabisa wewe.
Kanisani kuna nyimbo inaitwa Aleluya kuu, huo wimbo dunia nzima mkristo atakapofika melody yake ni moja tu inabadirika lugha tu maana Mungu anasikia lugha zote ila Allah ndio anasikia kiarabu tu ndio sababu masheikh wanajiami mapemanili waione firdaus, firdausi bila kiarabu hapaendeki Allah anajuwa kiarabu tu.
Tayari mkuumkuu Joseee please rudisha avatar picha tuliyokuzoea. PLEASEEEEEEE
Utawaweza hao,wamekalia udini tu.Kwa asilimia kubwa kiswahili kinatoka na kiarabu na hata ukiangalia baadhi ya maneno yanatumika kama yalivyo kwa lugha zote mbili.
Neno kama 'shukrani...sabaa, sita, kabur... hayo ni baadhi ya maneno (kwa uchache) ambayo yanatumika na lugha zote kama yalivyo...
Kiswahili kilianzia pwani, sehemu kama zanzibar, dar es salaam n.k, na tunajua kuwa sehemu hizi ndizo zilikaliwa na waarabu so kuongea kiswahili katika lafudh ya kiarabu ni kama kukirudisha kwenye asili yake.
We nawe choko kwel yan..acha ujinga mi nimezungumzia ukwel kuhusu asil ya lugha ya kiswahil ni kutokea ktk lugha ya kiarabu sasa mbn umeeingiza mambo ya udin kafir mkubwa ww...Wewe ni mpumbavu namba moja hapa JF, Shaka Ssali host wa straight talk Africa VOA anaishi Marekani kwa miaka mingi, je umewahi kumsikia English yake anaongea kwa lafudhi gani? Je Wasouth Africa unawasikia English yao ni ya lafudhi gani? Je wanaijeria unaisikia English yao ni ya lafudhi gani?
Masheikh ni wapumbavu kuiga lafudhi za waarabu, ni upumbavu na upuuzi wa kiwango cha PHD, mbona kuandama kwa mwezi hawawaigi Waarabu ambao hatuna tofauti kubwa ya masaa na wanakula Idd leo?
Nonsense.
Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉
Ndio maana siku hizi mnakuja na maneno ya kiswahili yalisioeleweka. Kuswahili ni lugha laini yenye asilimia kubwa ya maneno ya kiarabu kuliko hicho kibantu. Na kwa bahati Mhe. Rais JPM amekuwa mdau mzuri wa kiswahili. Mtakunjwa maji ya betri mwaka huu.Wewe ni mpumbavu namba moja hapa JF, Shaka Ssali host wa straight talk Africa VOA anaishi Marekani kwa miaka mingi, je umewahi kumsikia English yake anaongea kwa lafudhi gani? Je Wasouth Africa unawasikia English yao ni ya lafudhi gani? Je wanaijeria unaisikia English yao ni ya lafudhi gani?
Masheikh ni wapumbavu kuiga lafudhi za waarabu, ni upumbavu na upuuzi wa kiwango cha PHD, mbona kuandama kwa mwezi hawawaigi Waarabu ambao hatuna tofauti kubwa ya masaa na wanakula Idd leo?
Nonsense.