Mashehe wana hoja kuhusu umri wa kuolewa

Kuna umri wa kuolewa na pana umri wa kuanza kuingiliwa. Unaweza ukaolewa huku ukisubiria umri wa kuingiliwa ufike. Jamii za wafugaji watoto wadogo walikuwa wanaolewa kabla ya ujio wa shule
 
Ndugu, imekupasa kujifunza neno la Mungu. Kwa andiko lako unaonekana wewe ni bendera fuata upepo kama walivyo Wakristo wengi wa zama zetu.

Tukisema kila andiko LENYE PUMZI YA MUNGU tunamaanisha nini? Hebu soma tena bandiko lako ujishanhae hiyo mifano yako. Kaini kumuua Abeli ni andiko Mungu alibariki? Daudi kumuua ulia Mungu alibariki? Vipi kuhusu Hosea kuoa kahaba, hukusoma kama ilikuwa prophetic? Nimesema sana, Biblia sio aya za kukariri, you have to meditate on the word.

Kuhusu mabinti kuolewa wakivunja ungo, huoni ni Mungu mwenyewe ameweka mfano? Wewe ni nani kumjadili Mungu uamue kilicho bora!!? You are but flesh!! Adam na Hawa walifanya ujinga huu bustanini nawe wajua matokeo yake.

Leo ninakufundisha kweli ya maandiko, hakuna mahali Mungu alisema tuige lifestyle ya mtu, kwani hata hao waliosifiwa waliishi SAWA SAWA na neno la Mungu. Imetupasa kulishika neno, kwani ndilo uzima wetu. Acha kabisa tabia ya kuchuja neno la Mungu kwa jinsi unavyotaka, tabia hii ndio imeleta mkanganyiko kwenye mwili wa Kristo.

Nakupa challenge, nionyeshe ni kwa jinsi gani binti akiolewa baada ya kupindukia miaka 18 atakuwa mke bora nami nitakuonyesha KWA MFANO jinsi gani mabinti wakiolewa mapema wanakuwa wake bora sawasawa na maandiko.
 
Mtu husie Jua katiba ya nchi na Sheria ya ndoa , sina mda wa kupoteza na wewe , wewe ni pedophile na ma pedophile yakiingiaga anga zangu huwa najua Cha kuwafanya
 
Mtu husie Jua katiba ya nchi na Sheria ya ndoa , sina mda wa kupoteza na wewe , wewe ni pedophile na ma pedophile yakiingiaga anga zangu huwa najua Cha kuwafanya
Ungekuwa unajua katiba usingeandika ujinga huu. You make yourself in public.
 
Mtoto anaoaje na kuolewa?
Mtoto ni nani? Habu eleza maana ya mtoto. Kwa mujibu wa Oxford dictionary ni mwanadamu chini ya umri wa balehe au chini ya umri wa kisheria wa wengi.
 
Ungekuwa unajua katiba usingeandika ujinga huu. You make yourself in public.
Pedophile Nyenyere ulisema Katiba ya nchi imetaja umri wa kuolewa

Ndio nimekwambia pedophile ni ukichaa ila tutawanyoosha tu Yani kwa sasa mmekuwa kama mashoga mnajitangaza wazi
 
Pedophile Nyenyere ulisema Katiba ya nchi imetaja umri wa kuolewa

Ndio nimekwambia pedophile ni ukichaa ila tutawanyoosha tu Yani kwa sasa mmekuwa kama mashoga mnajitangaza wazi
Wewe ni mjinga tu, unajua maana ya pedophile? Kanyonye kama huwezi kuchangia mijadala unaleta ujinga wako hapa. SIO JUKUMU LANGU KUMFUNDISHA MJINGA KUISOMA KATIBA YA NCHI YAKE MWENYEWE na tafsiri yake inayo tolewa na mahakama za juu. Kama hujui kuhusu umri wa binti kuolewa kwa ridhaa ya wazazi au mahakama what are you arguing about Mr arrogant?

Sikiliza wewe mpuuzi, sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kifungu cha 13 na 17 imeweka wazi binti anaweza kuolewa akiwa na miaka 14 au 15 kwa ridhaa ya wazazi au mahakama. Unawezaje kuniita pedophile wakati wazazi wako wameishi katika sheria hiyo miaka yote? Ndipo nikahoji umri wako wewe na uwezo wako kujadili mada nyeti.

 
Wewe ni pedophile tena hujaisha apo tu wewe ni child molester

Chunga tu usije ingia anga zangu adhabu zangu kwa watu kama nyie nazijua mwenyewe

Ngoja niku report uzuiwe kutumia JamiiForum , hakuna kuleta ma child molester humu
 
Wewe ni mjinga tu, unajua maana ya pedophile?
Pedophilic disorder is characterized by recurring, intense sexually arousing fantasies, urges, or behavior involving children (usually 14 years old or younger).
 
Wewe ni pedophile tena hujaisha apo tu wewe ni child molester

Chunga tu usije ingia anga zangu adhabu zangu kwa watu kama nyie nazijua mwenyewe

Ngoja niku report uzuiwe kutumia JamiiForum , hakuna kuleta ma child molester humu
Ok, ho ahead. Pia natamani kuonana nawe, njoo inbox utoe location.
 
Pedophilic disorder is characterized by recurring, intense sexually arousing fantasies, urges, or behavior involving children (usually 14 years old or


Haya elezea maana ya prepubescent tukusikie. Stop calling others stupid names, be grown up. Halafu nataka ueleze serikali yako iliyopitisha sheria ya ndoa ya 1971 ni pedophilic ama la?
 
View attachment 2580767

Haya elezea maana ya prepubescent tukusikie. Stop calling others stupid names, be grown up. Halafu nataka ueleze serikali yako iliyopitisha sheria ya ndoa ya 1971 ni pedophilic ama la?
Pedophile Nyenyere , unaangaika Sana ila umejiweka wazi wewe ni child molester

Yani Mimi nachukuliaga wote ma pedophile na mashoga mpo sawa mna matatizo ya akili ila haituzuii sisi wenye akili iliyo nyooka kuwapa adhabu Kali

Sime ipite kwenye makende yenu
 
Mkuu hawana hoja yoyot
ya msingi
Mkuu hoja ya Mashehe ni dhaifu mno, sitaki kuamini ya kwamba Sheikh Issa Ponda na wenzake hawalijui katazo la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu umri na ukomo wa mtoto ni miaka 18, lakini inaonekana kuna kitu kipo nyuma ya pazia au yawezekana ni njaa tu inamsumbua kwa hiyo anatafuta sababu na yeye akumbukwe.
 
Ok, nasubiri sime lako mkuu
 
Nope, sio njaa, bali mimi nilivyowaelewa wamesimamia sheria ya dini yao. Ndipo nikajaribu kuonyesha kuwa hata Biblia ina namna hiyo isipokuwa tu umri ndio umepishana. Sheria za nchi ziliruhusu binti kuolewa kuanzia miaka 14 kabla ya sheria ya mwaka 1978 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2016? kutungwa sheria ya ELIMU ambayo ilizuia mtoto ANAYESOMA kuolewa.
 
Huyu Shehe na wenzake wakaombe uraia kwenye nchi zinazofuata sharia za dini ya Kiislamu kwa Tanzania haiwezekani na haitatokea, kikatiba ni nchi isiyofungamana na dini yoyote ile na analijua hilo tumuombe Mwenyezi Mungu na Serikali yetu tukufu kwa kulitambua jambo hili muhimu tangu mwanzo kwa ustawi wa taifa letu, mwisho (amani yetu bado tunaipenda).
 
Kwahiyo tamaa za Daudi mnataka kuziambukiza kwetu!!! Waacheni waisrael waishi maisha yao na sisi tuishi kivyetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…