Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Nina wasiwasi huyu Sheikh anaweza kutekwa,Mafwele anamlia timing tu
Miaka kama mitano nyuma leo huyu ndio shehe sa mkoa wa dar usimlishe maneno
Uislam una Madhehebu

Labda utufafanulie kwa Sababu Bakwata ina Viongozi Wengi tu Wanawake

Pili Tanzania siyo Nchi ya Kiislam hivyo Katiba waliotuachia Wamishioni ndio Mwongozo wa maisha ya watanzania
 
Serikali haindeshwi vyema na Rais mwanau
me au mwanamke.Inaendeshwa na mifumo ndani ya katiba.Katiba ikisomana na matakwa ya mwananchi,MTU yeyote anaweza kuongoza vizuri.Kwa maoni yangu katiba iliyopendekezwa ni mhimu ikakamishwa
 
Si wapo mawaziri?
 
Yeye mwenyewe anasemaje kulingana na kauli ya kiongozi wake wa imani
Yeye mwenyewe alishatoa msimamo wake kitambo tu,lakini imebidi kuzuga kuwa atagombe ili wale wenye uchu na kuwania kiti huko CCM wasiuane hadi ikifika April mwakani ndiyo litawekwa rasmi kama hivi
 

Attachments

  • 2025.jpg
    53.9 KB · Views: 3
Yeye mwenyewe alishatoa msimamo wake kitambo tu,lakini imebidi kuzuga kuwa atagombe ili wale wenye uchu na kuwania kiti huko CCM wasiuane hadi ikifika April mwakani ndiyo litawekwa rasmi kama hivi
Umetazama mbali sana Mkuu
 
Kwanza kwenye Uislam hatuna mtukufu zaidi Mwenye Enzi Mungu pekee, hivyo hilo la Masheikh watukufu achana nalo.

Huyu Walid mtoto wa Bi Mwalimu kashikwa na nini? Kabla ya yote kaongea haya lini? Nahofia kusema zaidi.
Msije mkamteka tu maana hamna dogo nyie
 
Hata Askofu Shoo anajua Kanisa la KKKT halina Kiongozi Mkuu mwanamke
 
Duh! Dah!
EEeenHEEE!

Hapana. Sikubaliani naye kwa ujumuishi wake..., Lakini ninakubaliana naye katika huyu tuliye naye sasa. Hafai.
 
Kwa mfumo wa dini ya kiislamu yupo sahihi.

KUMBUKA
Tanzania haifuati taratibu za kiislamu.

Hivyo kuhusianisha maelezo na Uongozi wa CCM ni kosa.
 
Hakuna cha hadithi sahihi wala dhaifu, hayo ni maoni ya watu tu. Weka Qur'an inasemaje bila tafsiri uchwara.

Maneno ya Allah yanajitosheleza, kabisa tena na hayana shaka ndani yake.

Hakutumwa mtume yeyote kutuletea yake binafsi.
 
Wakati Samia anateuliwa kuwa mgombea mwenza ya RIP Magufuli hatukuona kwamba kuna siku anaweza kuaga dunia tukabakia nae akiwa ndio Rais wetu.

Watulie tu SSH aendelee kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba.
Wanafik wanashadidia huu ujinga hawajui kuwa huyo Sheikh Waleed kila sherehe za Dar yeye ndiye anamuombea dua mma Samia aendelee kuzidishiwa hekima ya kutuongoza.

Team kondoo wanaumia sana moyo. Awe samia awe Kikwete mambo ni haya hayaa, tunaowajuwa hawatupi shida. Tunakula nao sahani moja.

Hii ni njia moja wapo ya wao kuusoma Uislam.
 
Sijajua anaitwa Shehe nani huyu lakini kama ana point hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…