Mimi nakuuliza, kabla ya mtume Muhammad watu walikuwa wanasali au hawasali?Sikatai quran imejitosheleza hilo halina shaka ndani yake.
Ila tu assume tunaondoa hadith na sasa tunakomaa na quran pekee unaweza kunipa aya zinazoelezea jinsi ya kuswali ? Procedures zote yaani naongelea tukianza na takbira tul ihram, mpaka salam.
halafu unipe aya pia inayosema tuswali swala tano iwe imejieleza bila ya ku backup na hadith yoyote ile , sijaujua kama unafahamu kuwa mtume muhammad (amani iwe juu yake) alienda kupokea swala kwenye arshi ya Allah (azzawajal) kwenye safari ya miiraj.
Sijamsikia hyo maneno kabla, ndiyo kwanza kwenye uzi huu.Hapo haijatumika AI wala nini kwani hukuwahi kumsikia huyu Sheikh na haya maneno yaliyosababisha migogoro kwa Waislam kwa kupishana mtazamo?
Unataka nikujibu vipi, sijui Waislam wpote wanasali bipoi, naona kila mmoja kivyake, wengine wananyoosha mikono, wengine wanafunga mikono, wengine wanacheza kidole cha shahada, wengine hawachezeshi, wengine hawanyooshi kabisa.Mbona ipo ndani ya mada nimeuliza kutokana na point yako ya kwamba " hadithi ni maneno ya watu tu" tafadhali ungenijibu swali langu kwanza ili twende sawa.
UK nao si ni waasi tu? am talking on Biblical context (spiritual wise) GodwardKumbe huna uelewa. Aliyekuwa anaongoza Uk alikuwa anaitwa Queen or King Elizabeth?
Huelewi. And still you try to use English to prove you dont understand.UK nao si ni waasi tu? am talking on Biblical context (spiritual wise) Godward
Hakuna kupishana maneno ni kutokuwa na elimu tu hadithi aliyonukuu huyo shaikh ni hadith sahih na wanawachuoni madhhab yote wanakubaliana kwenye hiloHapo haijatumika AI wala nini kwani hukuwahi kumsikia huyu Sheikh na haya maneno yaliyosababisha migogoro kwa Waislam kwa kupishana mtazamo?
Usipotumia ahadith kufafanua hakuna aya imeelezea direct tuswali swala tano kwa siku, hilo ndo lilikuwa dhumuni langu kumuikiza swali hilo kwa maana kuna kauli aliitoa kwamba "hadith ni maneno ya watu" .Ψ§ΩΩΩ Ψ§ΩΨ΅ΩΨ§Ω ΩΨ―ΩΩΩ Ψ§ΩΨ΄Ω Ψ³ Ψ§ΩΩ ΨΊΨ³Ω Ψ§ΩΩΩΩ ΩΩΨ±Ψ§Ω Ψ§ΩΩΨ¬Ψ±
ΨΨ§ΩΨΈΩΨ§ ΨΉΩΩ Ψ§ΩΨ΅ΩΩΨ§Ψͺ ΩΨ§ΩΨ΅ΩΨ§Ω Ψ§ΩΩΨ³Ψ·Ω
ΩΨ³Ψ¨ΨΨ§Ω Ψ§ΩΩΩ ΨΩΩ ΨͺΩ Ψ³ΩΩ ΩΨΩΩ ΨͺΨΈΩΨ±ΩΩ
ΩΩΩ Ψ§ΩΨΩ Ψ― ΩΩ Ψ§ΩΨ³Ω Ψ§ΩΨ§Ψͺ ΩΨ§ΩΨ§Ψ±ΨΆ ΩΨΉΨ΄ΩΨ§ ΩΨΩΩ ΨͺΨΈΩΨ±ΩΩ
ΩΨ§ΩΩΩ ΩΨ§ Ψ§ΩΨ΅ΩΨ§Ω
Ψ§Ω Ψ§ΩΨ΅ΩΨ§Ω ΩΨ§ΩΨͺ ΨΉΩΩ Ψ§ΩΩ Ψ€Ω ΩΩΩ ΩΨͺΨ§Ψ¨Ψ§ Ω ΩΩΩΨͺΨ§
uzuri wa uislamu kama muislamu mwenzako kakosea haipaswi kumuunga mkono maana unakuwa unapotosha umma kupishana na ye (faizafoxy) ni jambo la kawaida hasa kwenye mambo ya kielim .nawewe unapishana na FaizaFoxy tena
So yeye ameinukuu Hadith na sio Quran sio?
ACHA UNAFIQ WE MUISLAM, Kama kuna Ushenzi mwingi kwanini mnapakimbilia huko?Tatizo sio uchumi tu. Tatizo mila..ulaya kuna ushenzi mwengi sana
Hapana, FaizaFoxy yeye anaiamini na kuifuata Quran na sio Hadith ya MtumeFaiza foxy
Kama umeelezea hayo kwa kusukumwa na unafiki ndani yako badaΕa ya Ukweli wa Mungu,
Kama umeelezea hayo kwa kusukumwa ndani yako na maslahi yako binafsi kama mnufaika ,
Kama umeyasema hayo kwa hila, nia ovu , ghiliba n.k
Kama umeyasema hayo kwa niΔ ya kupotosha ,
Basi Mwenyezi Mungu Muumbaji wa Mbingu, Dunia , wanadami na vyoote na akukukemee mwenyewe.
Mwenyezi Mungu na akuhukumu mweyewe.
Amina.
Unataka nikujibu vipi, sijui Waislam wpote wanasali bipoi, naona kila mmoja kivyake, wengine wananyoosha mikono, wengine wanafunga mikono, wengine wanacheza kidole cha shahada, wengine hawachezeshi, wengine hawanyooshi kabisa.
Ka mambo kama hayo inabidi wewe unambie wanayosoma wapi yote haypo mpaka wanahitilafiana sala zao?
Tena hayo nimekutajia machche tu, ndiyo maana nikakwambia fungulia uzi wake, au hutaki elimu? Ulikuwa unauliza ushabiki tu?
Hadithi hiyo ipo wazi, haijakataza kutawaliwa na mwanamke, ila imesema jamii hiyo haitafanikiwa,sasa chaguo ni la jamii kama wanataka mafanikio au la!Walikuwepo baadhi nchini India na sehemu nyingine, ila chamoto walikiona.
Kitu ambacho hukielewi ni kimoja tu. Huwezi kuharamisha kitu ambacho hakijaharamishwa na Qur'an.Hakuna kupishana maneno ni kutokuwa na elimu tu hadithi aliyonukuu huyo shaikh ni hadith sahih na wanawachuoni madhhab yote wanakubaliana kwenye hilo
Wewe wacha porojo za vitabu na Qur'an ipo. Kama hakijaharamishwa na Allah zingine zote ni porojo tu:kwenye mas'ala yote uliyotaja mbona hakuna ikhtilafu nenda kasome kitabu kwa jina "sifat swalatu nabii cha shaikh al albani(rahimahullah) " utajua mtume alikuwa anaswali vipi na ushahidi ni hizo hizo hadithi unazosema ni za watu tu .
Halafu unaposema "waislamu wote " natarajia unamaanisha wale wanaoshikama na aqeeda ya kweli yaani quran na sunna kwa dalili .
Sada hao wanaoswali tofauti ndiyo watupe dalili kwamba hayo wanayoyafanya waliyotoa wapi na kwa ushahidi upi, na bado nasubiri Aya/sura inayoelezea process zote za namaz.
Allah(subhanna huwataala) anajua zaidi.
Tusaidie hiyo nukuu ya Kiarabu aliyoweka hapo sio sahihi au nayo ni maoni yake!?Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Tusaidie hiyo nukuu ya Kiarabu aliyoweka hapo sio sahihi au nayo ni maoni yake!?Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Wewe kubali tu. Aliyesema ni muislam mwenzako. Amepima kiislam.Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
FaizaFoxy ndio kuongozi wa BAKWATA mwanamke. πππBakwata ni Taifa?
Kiongozi Gani wa juu wa Bakwata ni mwanamke?
Mufti wa TANZANIA ni mwanamke?
Tanzania tumejitafitia laana wenyewe, tupo kinyume na nature