FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mimi nakuuliza, kabla ya mtume Muhammad watu walikuwa wanasali au hawasali?Sikatai quran imejitosheleza hilo halina shaka ndani yake.
Ila tu assume tunaondoa hadith na sasa tunakomaa na quran pekee unaweza kunipa aya zinazoelezea jinsi ya kuswali ? Procedures zote yaani naongelea tukianza na takbira tul ihram, mpaka salam.
halafu unipe aya pia inayosema tuswali swala tano iwe imejieleza bila ya ku backup na hadith yoyote ile , sijaujua kama unafahamu kuwa mtume muhammad (amani iwe juu yake) alienda kupokea swala kwenye arshi ya Allah (azzawajal) kwenye safari ya miiraj.