Hizo ni porojo? Una uhakika na hilo suala?
Alichoongea huyu sheikh ndio mafundisho sahihi ya hiyo dini yenu ya Kiislamu, Wala hajakosea.
Hapana, FaizaFox wewe ndio unaonekana haujui mafundisho sahihi kuhusu hiyo dini ya Kiislamu.
Mimi siyo Mwislamu lakini baada ya kumuuliza rafiki yangu fulani wa tangu miaka mingi (yeye ni Miongoni mwa Wanazuoni wa Kiislamu na pia miongoni mwa Mashehe maarufu Sana kwa hapa Tanzania), amenithibitishia pasipo kuacha chembe ya Shaka kwamba alichoongea huyo Shehe kwenye video ndio Mafundisho sahihi na ni Muongozo sahihi kwa dini ya kiislamu kuhusu suala hili.
Aidha,amenitajia kuwa hiyo ni nukuu ya hadithi ya Mtume kutoka "Sahil al-Bukhari 7099."
Siyo porojo, hiyo ni nukuu kutoka Sahil al-Bukhari 7099.