Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Narudia Tena Jitahidi Kupunguza KisiraniKunywa maji baridi kama imekugusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia Tena Jitahidi Kupunguza KisiraniKunywa maji baridi kama imekugusa
Tulibaki na sheria za kikoloni za kijinga sana.Hizi power za DPP kuamua kumpeleka Mtu Mahakamani na Kisha kuamua tena kutoendelea na shitaka wakati Mtu Huyo kasota rumande miaka kibao, linapaswa kuangaliwa upya.
Hii mamlaka ya DPP Haina tofauti na kumpa Mtu mmoja madaraka ya kukamata, kuhukumu, na kuachia mtuhumiwa.
Or else watuhumiwa wanaotumia kama Hawa kwa kukaa rumande muda mrefu, ilihali wanaathirika kisaikolojia na kiuchumi, Walipwe fidia na dola.
SijaelewaBora hukumu kuliko mahabusu ,kama wangehukumiwa wangeanza upya kifungo.
Mahabusu unaweza kukaa hata miaka 50 ,ili ukipewa hukumu unajua kabisa unakaa muda fulani...Kama wangepewa huku ya miaka 5 ,wangeenda jumla ya miaka 15 na 10 waliokqa kabla ya hukumu wakiwa mahabusu.Sijaelewa
Siyo hawana hatia, kuna mamlaka zimeingilia uhuru wa mahakama.Duh miaka 10 unasota gerezani tena bila hatia
Hii nchi inapitia kipindi kigumu Sana
Sasa wakae kwa kutulia, mda wowote wanaweza kukamatwa kwa mujibu wa sheria, iwapo serikali itaona inafaa.Shura ya Maimamu Tanzania
KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 4/3/2025
MASHEIKH 12, WATOKA GEREZANI. WATANO NI FAMILIA MOJA YA ULATULE.
MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa tuhuma za Ugaidi wameachiwa huru leo. Uamuzi huo umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Kirekiano.
Kabla ya hukumu hiyo Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP, aliambia Mahakama upande wa Jamhuri hauna haja ya kuendelea tena na shauri hilo.
Akitoa uamuzi huo mheshimiwa jaji amesema amekubali ombi hilo la Mwendesha Mashtaka wa serikali.
Kwa muda mrefu Shura ya Maimamu Tanzania imekua ikimuomba Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kulifuta shauri hilo kwa sababu za upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya Masheikh hao.
Walioachiwa huru ni:
1. Ali Mohammed Ulatule (70).
2. Khamisi Mohammed Ulatule (61).
3. Nassoro Suleiman Ulatule (41),
4. Rajab Ali Mohammed Ulatule (34).
5. Na Ramadhani Khamisi Mohammed Ulatule (29).
Wengine ni:
6. Saidi Abdallah Chambeta.
7. Fadhili Shaabani Lukwembe.
8. Mnemo Qassim Mwatumbo.
9. Abdallah Bushiri kalukula.
10. Khamisi Ally Masamba.
11. Omari Abdallah Makota.
12. Na Mohammed Hassan Ungando.
Katika kundi la Masheikh walioachiwa leo, 5, ni wa familia moja ya Ulatule. Wao walikamatwa familia moja watu 16, na baada ya masiku kadhaa (ya kutofahamika walipo), hatimaye 7, walikutwa katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam baada ya kufikishwa Mahakamani na kusomewa shtaka la ugaidi.
Aidha wenzao 9, hawajulikani walipo mpaka leo. Kati ya 7, waliokua gerezani 2, Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), na Sheikh Saidi Mohammed Ulatule (79), wamefariki dunia wakiwa gerezani.
Kufuatia kuachiwa kwa masheikh hao 12, idadi ya mahabusu wenzao waliobaki katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam ni 39.
Shura ya Maimamu Tanzania inawashukuru wale wote wanaoshiriki ipasavyo harakati za kutetea haki za binadamu.
Yaani kirahisi tu mtu anaachiwa bila hata fidia. Hii sheria huwa siielewi.Hizi power za DPP kuamua kumpeleka Mtu Mahakamani na Kisha kuamua tena kutoendelea na shitaka wakati Mtu Huyo kasota rumande miaka kibao, linapaswa kuangaliwa upya.
Hii mamlaka ya DPP Haina tofauti na kumpa Mtu mmoja madaraka ya kukamata, kuhukumu, na kuachia mtuhumiwa.
Or else watuhumiwa wanaotumia kama Hawa kwa kukaa rumande muda mrefu, ilihali wanaathirika kisaikolojia na kiuchumi, Walipwe fidia na dola.
Nadhani wafungue kesi ya kuomba fidiaShura ya Maimamu Tanzania
KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 4/3/2025
MASHEIKH 12, WATOKA GEREZANI. WATANO NI FAMILIA MOJA YA ULATULE.
MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa tuhuma za Ugaidi wameachiwa huru leo. Uamuzi huo umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Kirekiano.
Kabla ya hukumu hiyo Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP, aliambia Mahakama upande wa Jamhuri hauna haja ya kuendelea tena na shauri hilo.
Akitoa uamuzi huo mheshimiwa jaji amesema amekubali ombi hilo la Mwendesha Mashtaka wa serikali.
Kwa muda mrefu Shura ya Maimamu Tanzania imekua ikimuomba Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kulifuta shauri hilo kwa sababu za upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya Masheikh hao.
Walioachiwa huru ni:
1. Ali Mohammed Ulatule (70).
2. Khamisi Mohammed Ulatule (61).
3. Nassoro Suleiman Ulatule (41),
4. Rajab Ali Mohammed Ulatule (34).
5. Na Ramadhani Khamisi Mohammed Ulatule (29).
Wengine ni:
6. Saidi Abdallah Chambeta.
7. Fadhili Shaabani Lukwembe.
8. Mnemo Qassim Mwatumbo.
9. Abdallah Bushiri kalukula.
10. Khamisi Ally Masamba.
11. Omari Abdallah Makota.
12. Na Mohammed Hassan Ungando.
Katika kundi la Masheikh walioachiwa leo, 5, ni wa familia moja ya Ulatule. Wao walikamatwa familia moja watu 16, na baada ya masiku kadhaa (ya kutofahamika walipo), hatimaye 7, walikutwa katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam baada ya kufikishwa Mahakamani na kusomewa shtaka la ugaidi.
Aidha wenzao 9, hawajulikani walipo mpaka leo. Kati ya 7, waliokua gerezani 2, Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), na Sheikh Saidi Mohammed Ulatule (79), wamefariki dunia wakiwa gerezani.
Kufuatia kuachiwa kwa masheikh hao 12, idadi ya mahabusu wenzao waliobaki katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam ni 39.
Shura ya Maimamu Tanzania inawashukuru wale wote wanaoshiriki ipasavyo harakati za kutetea haki za binadamu.
We unaongea bila kuelewa,chuki tu zimekutawala,ungetwambia makosa yao yalikuwa yapi uenda ungeeleweka,kuliko hayo usemayo,,,makosa ubainishwa na hukumu zake ujulikana,lkn hawa haijulikani walifanya nini.Nani kakuambia hawana hatia?? Mpaka uje uthibitishe kuwa hawana hatia, utakuta makanisa yameschomwa, mapadri wameuliwa na ushenzi kibao.
Namna ta kudeal na religious fundamentalists ni hivyo tu. Hata USA pale Guantanamo ndivyo walivyowasomba.
Dini ni kama bangi ukiipokea ndivyo sivyo. Hawa wameshikishwa adabu. HAWATOFURUKUTA tena
Mbowe aliwahi ambiwa nae ni gaidi akaachiwa kama hawa walivyoachiwa.Hakuna fidia kwa hawa.
Kutii sheria bila shuruti kunasaidia sanaHalafu baada ya hapo wanasaidiwaje sana.
Mtu alikwenda akiwa na 50yrs, angalau ana nguvu bado anatoka na 60yrs huku amechoka na mateso ya jela halafu unamuacha bila msaada wowote na jela ulimuweka kimakosa.
Nafikiri inapaswa wale woote waliohusika na huo ujinga nao wapelekwe jela wakakae mara tatu zaidi ya hiyo miaka 10 ili nao waone madhara ya mizaha mizaha kwenye maisha ya watu.
Kweli ugaidi sio mzuri na haifai kuufumbia macho pindi unapojulikana, lakini pia na haki za binadamu zifuatwe , mfano kama hao ndugu wa familia moja 9 ambao mpaka leo baada ya miaka 10 kupita bado haijulikani kama wapo hai au walishatangulia mbele za haki 😳Shura ya Maimamu Tanzania
KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 4/3/2025
MASHEIKH 12, WATOKA GEREZANI. WATANO NI FAMILIA MOJA YA ULATULE.
MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa tuhuma za Ugaidi wameachiwa huru leo. Uamuzi huo umetolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Kirekiano.
Kabla ya hukumu hiyo Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali DPP, aliambia Mahakama upande wa Jamhuri hauna haja ya kuendelea tena na shauri hilo.
Akitoa uamuzi huo mheshimiwa jaji amesema amekubali ombi hilo la Mwendesha Mashtaka wa serikali.
Kwa muda mrefu Shura ya Maimamu Tanzania imekua ikimuomba Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kulifuta shauri hilo kwa sababu za upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya Masheikh hao.
Walioachiwa huru ni:
1. Ali Mohammed Ulatule (70).
2. Khamisi Mohammed Ulatule (61).
3. Nassoro Suleiman Ulatule (41),
4. Rajab Ali Mohammed Ulatule (34).
5. Na Ramadhani Khamisi Mohammed Ulatule (29).
Wengine ni:
6. Saidi Abdallah Chambeta.
7. Fadhili Shaabani Lukwembe.
8. Mnemo Qassim Mwatumbo.
9. Abdallah Bushiri kalukula.
10. Khamisi Ally Masamba.
11. Omari Abdallah Makota.
12. Na Mohammed Hassan Ungando.
Katika kundi la Masheikh walioachiwa leo, 5, ni wa familia moja ya Ulatule. Wao walikamatwa familia moja watu 16, na baada ya masiku kadhaa (ya kutofahamika walipo), hatimaye 7, walikutwa katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam baada ya kufikishwa Mahakamani na kusomewa shtaka la ugaidi.
Aidha wenzao 9, hawajulikani walipo mpaka leo. Kati ya 7, waliokua gerezani 2, Sheikh Suleima Mohammed Ulatule (99), na Sheikh Saidi Mohammed Ulatule (79), wamefariki dunia wakiwa gerezani.
Kufuatia kuachiwa kwa masheikh hao 12, idadi ya mahabusu wenzao waliobaki katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam ni 39.
Shura ya Maimamu Tanzania inawashukuru wale wote wanaoshiriki ipasavyo harakati za kutetea haki za binadamu.
Hiyo ndio namna ya kudeal na Extremists
Nakupa siri usimwambie mtu, wale mabwana kweli kabisa bila wasi wasi walikua mafia na mipango yao ilikua mibaya sana sema si unajua tena mambo flani flani ila nna uhakika asilimia elfu nane WAMEKOMA.Tujiandae kwa lolote mtaani
Hao familia moja kukamatwa 16 na kizee cha 99years kama umiliki wa ardhi ya Tanzania kulikoni!Shura ya Maimamu Tanzania