Pre GE2025 Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru

Pre GE2025 Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heri bongo miaka kumi halafu DPP anasusa unaanza moja.

Kenyatta alikuwa anamalizana na masheikh watuhumiwa wa ugaidi nje ya mfumo.eg Rogo, Makuburi.
Kama Alihusika Moja Kwa Moja Mauaji Ya Hao Watu Na Yeye Atauwawa Ni Swala La Muda Tu.Hata wewe Jua Jambo Hilo Leo.
 
Hao muamsho issue yao ilikuwa kisiasa zaidi na wala sio udini.
Kuna watu wale walisombwa tu hawajui a wala ba. Na wengi walikuwa wapemba na ni Wafuasi wa CUF kwa kipindi kile kabla CUF kusambaratika na wengi kujiunga na ACT
Ulikuwa na umri gani wakati wanakamatwa!!? Hao ni magaidi kweli kweli walikuwa tayari wamesajiriwa na Alshabab pia kwa muda walijaribu kufanya mipango ya kuwatoa gerezani kwa njia za kigadi lakini walishindwa wengi walifyekerewa mbali huko Rufiji acha kucheza na usalama wa TZ utakufa vibaya sana.
 
Pia kuna wajinga wenye dhamana, wakiona tu mtu anandevu wanajua ni gaidi, ujinga wa hali ya juu.
Je ugaidi upo ama haupo?
Sio rahisi hivyo unavyodhani.
Wapo watu hawalali wanachunguza.Hadi mkamatwe lazima kuna taarifa mnazijua kwa namna moja ama nyingine.Acheni kuhujumu maisha ya watu wasio na hatia kwa jina la dini
 
Virugu zote hapa Dunia mwisho wa siku tunakufa wote.

Nani atafika miaka mia moja akiwa na nguvu,afya njema na akili timamu.

Tufanye mema hapa Dunia.
 
Hizi power za DPP kuamua kumpeleka Mtu Mahakamani na Kisha kuamua tena kutoendelea na shitaka wakati Mtu Huyo kasota rumande miaka kibao, linapaswa kuangaliwa upya.

Hii mamlaka ya DPP Haina tofauti na kumpa Mtu mmoja madaraka ya kukamata, kuhukumu, na kuachia mtuhumiwa.

Or else watuhumiwa wanaotumia kama Hawa kwa kukaa rumande muda mrefu, ilihali wanaathirika kisaikolojia na kiuchumi, Walipwe fidia na dola.
Kuna watuhumiwa wawili wamekufa wakiwa Gerezani na kesi iliyowahusu umefutwa, Je serikali inawajibika vipi kwa hili?
 
Hiyo familia ya Ulatule ilikuwaje wote wakajikuta 'mahabusu,' ?
Na mimi najiuliza na kiukweli natamani kujua ni watu wa wapi na pia kuna jambo gani walikutwa nalo mpaka wasombwe famiia nzima mpaka babu wa miaka 99 mwenye nondo zaidi tafadhali kwa maslahi ya jukwaa atumegee kidogo hawa ulatule ni kina nani?
 
Back
Top Bottom