Hii Inaweza Kuwa Ndo Chanzo Cha Chuki Dhidi Ya Kile Ulichokitaja.
Hawa Wanahitaji Kitu Kidogo Tu Kuwafanya Magaidi.
Dhulma Ndo Chanzo Cha Kisasi Ila Ukiwa Na Akili Za Kikanisa Kanisa Huwezi Kuelewa.
Wametumikia Miaka Kumi Bila Sababu Za Msingi Alafu Kuna mtu Anashangilia Binadam Mwenzie Kuonewa Kisa Ni Mwislam Kaonewa Ila Tambua Mambo Hubadilika.
..kauli sahihi ni wameonewa na serikali ya Ccm.
..kuna Mashekhe walikamatwa wakati Raisi, na Igp, wakiwa Waislamu.
..wakati wa kampeni, mwanasiasa pekee aliyepanda jukwaani na kuwatetea Mashekhe wa Ansar Sunna alikuwa Tundu Lissu.
..pia Mheshimiwa Bwege alipokuwa mbunge aliwahi kuwasemea Waislamu waliopotezwa mikoa ya kusini.
..Tuiondoe CCM ili haki itawale ktk nchi yetu.