Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Duuh inamaana waliwadaka zaidi ya 60 na wengine wakalimwa juu kwa juu, wengine wakatupwa lupango..
Nini hasa ilikua sababu?? Kulikua na fukuto kali kiasi gani hadi wadakwe wengi namna hiyo?
Mwenye link ya uzi wa hilo sakata ashee nasi wengine 2015 tulikua nje ya nchi kikazi.