Pre GE2025 Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tulibaki na sheria za kikoloni za kijinga sana.
 
Sasa wakae kwa kutulia, mda wowote wanaweza kukamatwa kwa mujibu wa sheria, iwapo serikali itaona inafaa.
 
Yaani kirahisi tu mtu anaachiwa bila hata fidia. Hii sheria huwa siielewi.
 
Habari njema sana ,hongereni mashehe na pia poleni kwa maswahibu.

Jiepusheni na mambo ambayo yataathiri amani ya nchi ,TZ kwenye intelenjensia wapo vizuri sana ,unaweza ukaona unafanya mambo ya ugaidi kimya kimya kumbe watu wamekuweka kwenye rada.

Uhuru wa maoni unaruhusiwa kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ,siyo wote tuwe na mawazo sawa ,kuna wengine wataipenda sisiemu na kuna wengine wataipenda cdm na vyama vingine ,na hivyo vyama kila kimoja kina falsafa zake hivyo hata wanachama nao watakuwa na falsafa tofauti ,so isiwe uadui mtu wa sisiemu akitoa mawazo tofauti na cdm na vile vile cdm akitoa mawazo tofauti na ya sisiemu.

Cha kushangaza wanaotekwa ni wale wanaotoa mawazo kinzani na sisiemu.
 
Nadhani wafungue kesi ya kuomba fidia
 
We unaongea bila kuelewa,chuki tu zimekutawala,ungetwambia makosa yao yalikuwa yapi uenda ungeeleweka,kuliko hayo usemayo,,,makosa ubainishwa na hukumu zake ujulikana,lkn hawa haijulikani walifanya nini.
 
Kutii sheria bila shuruti kunasaidia sana
Ni vizuri kuishi na watu kwa amani na kutojihusisha na mskundi yenye vitendo hatarishi si kwa wengine tu bali kwako pia
Waislamu safi mbona wako tu wanaendelea na maisha yao mitaani hakuna wa kuwadhuru wala kuwapeleka mahabusu

Hapo wanatoka wengine watakuta wake zao walishajwenda kuolewa kwingine
 
Kweli ugaidi sio mzuri na haifai kuufumbia macho pindi unapojulikana, lakini pia na haki za binadamu zifuatwe , mfano kama hao ndugu wa familia moja 9 ambao mpaka leo baada ya miaka 10 kupita bado haijulikani kama wapo hai au walishatangulia mbele za haki 😳
 
Hiyo ndio namna ya kudeal na Extremists

Kwa nini hawakutumia sheria ya ku deal na ma extremists ?

Katika 16 waliokamatwa wa familia moja, wameua 9, wameibua mahakamani 7.

We hujui dini yangu na mi sijui ya kwako, hebu tuweke pembeni takataka za unazi wa dini, tujadilli kama ma genius fulani ambayo dini yao ni haki, sheria, amani, kuheshimu imani za wengine, na common sense. Tunaweza ?

KWA NINI SHERIA YA BUNGE YA KU DEAL NA MA EXTREMISTS HAPA IMETEMEWA MATE NA WAENDESHA MASHTAKA ?
 
Hao familia moja kukamatwa 16 na kizee cha 99years kama umiliki wa ardhi ya Tanzania kulikoni!

Kuna jambo haliko sawa

Ulatule familiy, Mungu anawaona, mlitaka tuishi kama tupo kuzimu kwenye tunuru la moto na machafuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…