X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Hawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Uislamu na ugaidi wapi na wapi! Usome Uislamu acha uvivu
Umeshaambiwa wameshinda kesi👇
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.
Unadhani ni Cinema mkuu?ivi ulikuwepo na wewe pale central leo jioni...yani nikadhani kuna uvamizi umejitokeza...ilikuwa kama muvi ya Rambo aisee kumbe ni hawa masheikh ndio walikuwa wanatolewa ili warudishe gerezani....
jamani ivi ni kweli ni magaidi😭😭😭
kwa kile nilichokiona leo haki vile niliogopa sana...
MfanoNaiona Gaza inakaribia.
Ukiona hivyo jua ni watu hatari sana kwa usalama wa nchi hii.Hawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Mpenda haki Huna kawaida ya kutanguliza dini kama wakristo wa bongo Mungu akusimamie na akulinde, upo kama Tundu Lissu.Walaaniwe wote waliowasingizia , Amina
Wacha wee mfuasi wa Bwajima nawaonea huruma jirani zako waislam kwa chuki hii..mrudishe Magufuli au msimike Kabudi ili aje kuwatesa waisla tena furaha yako irudi.Mfano
Ukitaka kuwashinda kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Boko Haram pale Nigeria na kuwaondoa wote.
Kamata viongozi wakubwa na wadogo wa kiislamu pale Nigeria weka jela. Kwenye mabaraza yao yote kamata weka ndani hautasikia tena kuwepo kwa kundi lolote la kigaidi la kiislamu.
Hawa jamaa unatakiwa u-deal nao kama wanayofanya Israel kwa Hamas
Magufuli aliwatesaje?Wacha wee mfuasi wa Bwajima nawaonea huruma jirani zako waislam kwa chuki hii..mrudishe Magufuli au msimike Kabudi ili aje kuwatesa waisla tena furaha yako irudi.
peleka ujinga kule, itoke wapi gaza?Naiona Gaza inakaribia.