Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

Waliowakamata wana sababu zao, waachwe wafanye kazi zao, mbona masheikh wengine hawakamatwi huko nje iwe hao tu, kwanza rais wa nchi ni Muislamu, waziri Mkuu Muislamu, una uhakika hao wakuu wangeacha masheikh wasiokua na hatia wakamatwe bure.
Tatizo mkianza kulishana pumba n mizuka ya kidini huwa mnaweka ubongo chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…