Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Hawana tofauti naoHawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana tofauti naoHawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Kama hali ilikuwa hiyo ni lazima tukubali kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya hao watuhumiwa na watuhumiwa wengine. Hii tofauti, je ni dini yao? Sidhani kwa sababu kuna Waislamu wengi wamewahi kushtakiwa lakini ulinzi haukuwa hivyo. Sasa kama ni kuwatetea au kusikitika nao msingi usiwe dini yaoilikuwa kama muvi za rambo nilikuwepo leo mjini mida ya saa 10 hivi kuelekea saa 11 jioni makomandoo tuseme wa magereza walijitawanya huku na huko kuizingira gari yao ya kubebea wafungwa.
hiyo hali ilinitisha sana kwakweli haswa ukizingatia walikuwa wamefunga ile barabara inayoingia central pale...na mimi na kipikipiki changu nilikuwa nataka nikatize pale[emoji24][emoji24][emoji24]
muda huu kupitia hii post ndio napata picha ya kilichokuwa kinajiri pale...
Nilipishana na zile defender za magereza ziko full na watu kazi tupu kwa nyuma sio mchezo.Hawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Muendelezo wa kesi ya ugaidi, shambulizi la bomu lilivyojeruhi watu katika baa
ARUSHA SUB-REGISTRY
AT ARUSHA
Vurugu za aina yoyote zitadhibitiwa kikatili mnoNaiona Gaza inakaribia.
Hivi ni kwa Nini wanapewa ulinzi kiasi kileHawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Ajichanganye tu ajaeHiyo bendera na maneno yako na kuhusu tuhuma za Masheikh, Dugu moja.
Usipoteze muda na huyo falamsumbiji magaidi ya kiislam yanaua kwann usitumie muda wako kukosoa pia kuliko kutetea mtu huna ukakika wa unachotetea
Mimi nilijua ni Gari la pesa la BOT, eti kumbe ni ma shehk ubwabwaivi ulikuwepo na wewe pale central leo jioni...yani nikadhani kuna uvamizi umejitokeza...ilikuwa kama muvi ya Rambo aisee kumbe ni hawa masheikh ndio walikuwa wanatolewa ili warudishe gerezani....
jamani ivi ni kweli ni magaidi😭😭😭
kwa kile nilichokiona leo haki vile niliogopa sana...
haiwezekani kutenganisha uislamu na ugaidi. Hata kame wameshinda kesi ni magaidi tu yashugulikiwe kadri ipasavyoSHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA
Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.
Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
Masheikh hao ni:
1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.
Wamekua gerezani toka 2014.
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.
Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.
IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.
Mamtu yalikamatwa usiku LIVE msikitini yakiwa na bunduki, ramani za maeneo mbali mbali na vificha sura alafu unasema waliotoa siri walaaniwe ?! Aise imam hebu jiheshimuWalaaniwe wote waliowasingizia , Amina
magaidi na magaidi katika imaniNdio wale ni ndugu katika imani
Mamtu yalikamatwa usiku LIVE msikitini yakiwa na bunduki, ramani za maeneo mbali mbali na vificha sura alafu we unaonaje ni magaidi au ni wanywa kawaha wa kawaida eti ?ivi ulikuwepo na wewe pale central leo jioni...yani nikadhani kuna uvamizi umejitokeza...ilikuwa kama muvi ya Rambo aisee kumbe ni hawa masheikh ndio walikuwa wanatolewa ili warudishe gerezani....
jamani ivi ni kweli ni magaidi😭😭😭
kwa kile nilichokiona leo haki vile niliogopa sana...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA
Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.
Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam
Masheikh hao ni:
1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.
Wamekua gerezani toka 2014.
Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.
Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.
IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.
Mmeshindwaje kuwafunga mkiwa na ushahidi ?Mamtu yalikamatwa usiku LIVE msikitini yakiwa na bunduki, ramani za maeneo mbali mbali na vificha sura alafu unasema waliotoa siri walaaniwe ?! Aise imam hebu jiheshimu
magaidi na magaidi katika imani
Mmeshindwaje kuwafunga mkiwa na ushahidi ?
Kwani I usia done kiswahili fasaha kiburi badala ya KibriMajaji/waendesha mashtaka muogopeni Mwenyezi Mungu, life is too short. Msiwe na kibri na majivuno.
Kwa mazingira haya na kauli zenu hakika chuki ni kubwa isiyo na mantiki, anyway basi waislam nao washangilie yule mchungaji mbeya aliefungwa bila sabab ya muhimu.Ukiona hivyo jua ni watu hatari sana kwa usalama wa nchi hii.
Kinacho nipendezesha ni kuwa walikamatwa kipindi cha utawala wa ndg yao ktkt Imani.
Na sasa hizi blah blah zinafanyika kipindi cha utawala wa ndg yao ktk imani.
walishindwaje kutekeleza kujilipua wakapate mabikra 72 wakati walikua na vilipukizi, bunduki, vificha sura na ramaniMmeshindwaje kuwafunga mkiwa na ushahidi ?