Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

ilikuwa kama muvi za rambo nilikuwepo leo mjini mida ya saa 10 hivi kuelekea saa 11 jioni makomandoo tuseme wa magereza walijitawanya huku na huko kuizingira gari yao ya kubebea wafungwa.

hiyo hali ilinitisha sana kwakweli haswa ukizingatia walikuwa wamefunga ile barabara inayoingia central pale...na mimi na kipikipiki changu nilikuwa nataka nikatize pale[emoji24][emoji24][emoji24]

muda huu kupitia hii post ndio napata picha ya kilichokuwa kinajiri pale...​
Kama hali ilikuwa hiyo ni lazima tukubali kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya hao watuhumiwa na watuhumiwa wengine. Hii tofauti, je ni dini yao? Sidhani kwa sababu kuna Waislamu wengi wamewahi kushtakiwa lakini ulinzi haukuwa hivyo. Sasa kama ni kuwatetea au kusikitika nao msingi usiwe dini yao
 
Ninacho shangaa.
Magaidi wa Kiislamu wakiuwa watu Waislamu wanakaa kimyaaa.

Magaidi wa Kiislamu wanafanya haya matukio ya mauaji kwenye jaimio za Kiislamu na wanastawi Sana huko.

Mfano Mkuranga, Rufiji, Kibiti, Tanga Zanzibar hapa TZ ndio wanako patikana kwa wingi.

Kuna kitu hapa
 
Hawa mashehe wanavyolindwa wakiwa wanaletwa hapo mahakamani unaweza sema ni alqaida
Nilipishana na zile defender za magereza ziko full na watu kazi tupu kwa nyuma sio mchezo.
 
Muendelezo wa kesi ya ugaidi, shambulizi la bomu lilivyojeruhi watu katika baa



ARUSHA SUB-REGISTRY
AT ARUSHA

31 May 2023
Wakili Peter Madeleka aliyesimamia wateja wake mahakamani

View: https://m.youtube.com/watch?v=p1twciNYew4
KESI ya UGAIDI ya MASHEIKH 9 ARUSHA YAIVA WAKILI MADELEKA AELEZA ILIPOFIKIA - "IMECHUKUA MIAKA 10"..


19 Juni 2023

MASHEKH 9 WENGINE wa UGAIDI WASHINDA KESI ARUSHA, YUPO ALIYEKATWA MGUU AKIWA GEREZANI ASEMA WATALIPA

CRIMINAL SESSION NO. 63 OF 2022
REPUBLIC

VERSUS

1. ABDALLAH ATHUMAN LABIA@BROTHER MOHAMED
2. ALLY HAMISI KIDAANYA
3. ABDALLAH MAGINGA WAMBURA
4. RAJABU PIRI AHMED
5. HASSAN ZUBERI SAID
6. ALLY HAMISI JUMANNE
7. YASSIN HASHIM SANGA
8. SHABANI ABDALLAH WAWA
9. IBRAHIM LEONARD

View: https://m.youtube.com/watch?v=72rIuu-GSf0

Wakili kiranja wa jopo la mawakili, msomi Peter Madeleka afafanua mwenendo mzima wa kesi hadi hitimisho lake ambapo wateja wao wameachiwa huru baada ya jaji wa mahakama kuu kusikiliza hoja zote za kutoka upande wa Jamhuri na wa upande wa watuhumiwa.
 
Bila shaka kutakuwa na recommendations
Za CIA. Fanya ujinga wote ila usije ukahusishwa na militant islamism au mambo za terrorism. Utajuta
 
ivi ulikuwepo na wewe pale central leo jioni...yani nikadhani kuna uvamizi umejitokeza...ilikuwa kama muvi ya Rambo aisee kumbe ni hawa masheikh ndio walikuwa wanatolewa ili warudishe gerezani....


jamani ivi ni kweli ni magaidi😭😭😭

kwa kile nilichokiona leo haki vile niliogopa sana...​
Mimi nilijua ni Gari la pesa la BOT, eti kumbe ni ma shehk ubwabwa
 
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA

Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.

Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

Masheikh hao ni:

1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.

Wamekua gerezani toka 2014.

Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.

Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.

IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.
haiwezekani kutenganisha uislamu na ugaidi. Hata kame wameshinda kesi ni magaidi tu yashugulikiwe kadri ipasavyo
 
ivi ulikuwepo na wewe pale central leo jioni...yani nikadhani kuna uvamizi umejitokeza...ilikuwa kama muvi ya Rambo aisee kumbe ni hawa masheikh ndio walikuwa wanatolewa ili warudishe gerezani....


jamani ivi ni kweli ni magaidi😭😭😭

kwa kile nilichokiona leo haki vile niliogopa sana...​
Mamtu yalikamatwa usiku LIVE msikitini yakiwa na bunduki, ramani za maeneo mbali mbali na vificha sura alafu we unaonaje ni magaidi au ni wanywa kawaha wa kawaida eti ?
 
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA

Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.

Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

Masheikh hao ni:

1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.

Wamekua gerezani toka 2014.

Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.

Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.

IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.

MISCELLANEOUS CRIMINAL APPL. NO. 202 OF 2021

(Originating from Preliminary Inquiry Case No. 33 o f 2015 o f the Resident
Magistrate's Court ofDar es Salaam at Klsutu)

THE DIRECTOR OF PUBLIC
PROSECUTIONS--APPLICANT

VERSUS

FUNDI HAMISI KAMAKA @ FUNDI HAMISI
@ MOHAMED s/o FUNDI --------------- 1st RESPONDENT

ELIASA KALINDA KAZANA @ ILIASI
RAMADHANI------------------------- 2ND RESPONDENT

ISSA MUSSA MUSTAPHA------------- 3rd RESPONDENT

ATHUMAN HAMISI ABEID ------------- 4™ RESPONDENT

JUMA RAJABU MBONDE----------------5™ RESPONDENT

Date of Last Order: 15/09/2021

Date of Ruling: 30/09/2021

RULING
MGONYA, J.

The Applicant, the -DIRECTOR OF PUBLIC
PROSECUTIONS (herein to be referred as the "DPP") filed an
Ex-parte Application under sections 34 (3) Prevention of
Terrorism Act No. 21 of 2002 read together Section 188
(1) (b) (c) and (d) of the Criminal Procedure Act, Cap.
20 [R.E 2019] (the Act) against the Respondents seeking
orders of witnesses protection. The orders sought read as
under:
1. That, this Honourable Court be pleased to order none disclosure of identity and whereabouts o f the witnesses for security reasons during committal and
trial proceedings.
2: Thatf this Honourable Court be pleased to order none disclosure of statements and documents likely to lead to the identification of witnesses for their security reasons during committal and trial proceedings.
3. That, this Honourable Court be pleased to order any other protection measure as the Court may consider appropriate for security o f the witnesses,
The Application is supported by the Affidavits of Ms. JANETHREZA KITALY, State Attorney working with ...
 
Mamtu yalikamatwa usiku LIVE msikitini yakiwa na bunduki, ramani za maeneo mbali mbali na vificha sura alafu unasema waliotoa siri walaaniwe ?! Aise imam hebu jiheshimu

magaidi na magaidi katika imani
Mmeshindwaje kuwafunga mkiwa na ushahidi ?
 
Ukiona hivyo jua ni watu hatari sana kwa usalama wa nchi hii.
Kinacho nipendezesha ni kuwa walikamatwa kipindi cha utawala wa ndg yao ktkt Imani.
Na sasa hizi blah blah zinafanyika kipindi cha utawala wa ndg yao ktk imani.
Kwa mazingira haya na kauli zenu hakika chuki ni kubwa isiyo na mantiki, anyway basi waislam nao washangilie yule mchungaji mbeya aliefungwa bila sabab ya muhimu.

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom