Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Kwahiyo tunakubaliana kwamba kupiga picha na bible au kudai unatumia bible sio issue,issue ni bible kukubaliana na wewe mganga.

Hakuna popote bible imeandika inawezatumika kutibu watu ndio maana naweza kwambia tu,aliyeandika hivi kavimbiwa mihogo tu,tofauti na neema za Quran kwamba inawezatumika kutibia watu.
Kwani bible imeelekeza kufanya maombi ya novena? Ila watu wanafanya na wanapata majibu, ndio sawa na hayo maandiko ya bible watu wanavyotumia kwenye uchawi na kupata majibu. Mwanzo ilikuwa unasema kwamba maandiko ya bible hayatumiki kuagua, nimekuwekea ushahidi unakuja kusema et wamevimbiwa miogo.

Mkuu kubali tu ukweli kwamba biblia hutumika kwenye uchawi haijalishi biblia imesema au haijasema.
 
Na tiba yake ni ipi kutoa changamoto hizo?
Tiba ni kufuata maamrisho ya Qur'an yaani kumuamudu Mungu ukweli wa kumuabudu ukiona jini alieasi kamuingia binadamu huyo mtu ajiangalie katika ibada zake
 
Hivi ushirikina ni nini?
Ushirikina ni kushirikisha Mungu na viumbe vingine katika uungu wake,mfano kuomba mizimu,mtu,kuabudu miti,ng'ombe etc
Japo imezoeleka uchawi kuitwa ushirikina lakini uchawi kwa misingi ya Quran si ushirikina bali ni dhambi inayojitegemea na Quran haikukataza tu kuutenda bali hata kujifunza
 
Ahsante kwa kuomba kufahamishwa ni kuwa:

Adhana ni kwa ajili ya kuitia watu katika sala haihusiki na chochote kingine tofauti na hapo kwahiyo wanaoagua kupitia Adhana ni washirikina kwa maana wanamshirikisha Mwenyezi Mungu na Adhana amboyo ipo tu kwa ajili ya kuwaita watu wakaswali
Lakini kuna hadithi inasema mashetani wakisikia adhana wanakimbia, Vipi kama mtu kakumbwa na pepo mchafu(jini muovu) nikaamua nimpigie adhana ili akimbie nitakuwa nafanya shirki?
 
Lakini kuna hadithi inasema mashetani wakisikia adhana wanakimbia, Vipi kama mtu kakumbwa na pepo mchafu(jini muovu) nikaamua nimpigie adhana ili akimbie nitakuwa nafanya shirki?
Ni kweli ikiadhiniwa Adhana muda wa swala mashetani hukasirika kwani huona dhamira yao ya kusambaratisha Imani zao haijafanikiwa

Matini ya hiyo hadithi ni kuonesha umuhimu wa swala kwa muunini na jinsi viumbe wabaya wanavyopambana kuzorotesha Imani za waumini kuitumia hiyo hadithi ili kuagulia watu wenye mashetani sio sahihi hiyo ni kujiingiza kwenye shirki

Unakuta mtu kapata kitengo kabisa na anapokea watu walioingiwa na mashetani kwa uchovu wa Imani zao kazi yake ni kupiga Adhana kuanzia asubui hadi jioni eti anaagua ushirikina mtupu
 
Mtawalisha yote nimambo ya biashara unamua nn uongeze ili biashara ichanganye

unae shauri baki na ushamba wako kama unamaturubai na kaeneo tutafte na mtu wa mazingaombwe tupige hela br nitashukuru sana
 
Mnatukosea wafuata dini maana mnapotosha vya kutosha na watu wanapotoka hasa wapinzani wetu wakuu wagalatia

Acheni hizo masheikh fuateni dini ukweli wa kuifuata kama hamuwezi iacheni fanyeni shirki zenu bila kutumia Qur'an kama mgongo wa kuaminiwa
 
Kwani bible imeelekeza kufanya maombi ya novena?
bible haijaelekeza kusali novena,bible imeelekeza kusali na kumwachia Mungu kama hakimu wa haki,zoezi hilo la kumshitakia Mungu ndio huitwa novena,ila kuagua hakuna tafsiri hiyo kwa maelezo ndani ya bible.

Ila watu wanafanya na wanapata majibu, ndio sawa na hayo maandiko ya bible watu wanavyotumia kwenye uchawi na kupata majibu.
hakuna majibu wanapata,Mungu hajibu mambo ya kichawi.
Mwanzo ilikuwa unasema kwamba maandiko ya bible hayatumiki kuagua, nimekuwekea ushahidi unakuja kusema et wamevimbiwa miogo.
maandiko ya bible hayatumiki kuagua,wachana na hizo article za wafakamia mihogo.
Mkuu kubali tu ukweli kwamba biblia hutumika kwenye uchawi haijalishi biblia imesema au haijasema.
hapa sio swala la wewe kunibembeleza nikubali,ni swala la facts kwamba hakuna waaguzi wanatumia bible,neema hizo zinapatikana kwenye quran pekee.
 
bible haijaelekeza kusali novena,bible imeelekeza kusali na kumwachia Mungu kama hakimu wa haki,zoezi hilo la kumshitakia Mungu ndio huitwa novena,ila kuagua hakuna tafsiri hiyo kwa maelezo ndani ya bible.

hakuna majibu wanapata,Mungu hajibu mambo ya kichawi.

maandiko ya bible hayatumiki kuagua,wachana na hizo article za wafakamia mihogo.

hapa sio swala la wewe kunibembeleza nikubali,ni swala la facts kwamba hakuna waaguzi wanatumia bible,neema hizo zinapatikana kwenye quran pekee.
Nimekuja kuwakanya na kuwaonya wasitumie Qur'an kufanya ushirikina waliochiwa na babu zao Mwenyezi Mungu amekataza na wanalijua hilo ila tamaa za dunia ndio zinawaendesha
 
Wewe pia si umelikubali hilo kwamba majini wameumbwa ili waabudu katika uislamu, ina maana ulikuwa unakubali tu bila kuelewa?
KWa mujibu wa maandiko ya dini yao. Kwamba majini yameumbwa ili yamuabudu allah
 
Tiba ni kufuata maamrisho ya Qur'an yaani kumuamudu Mungu ukweli wa kumuabudu ukiona jini alieasi kamuingia binadamu huyo mtu ajiangalie katika ibada zake
Kwahiyo ukimuabudu Mungu hiyo ndio tiba?
 
Back
Top Bottom