Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

Kumsomea ruqya alopata majini inaswihi kabisa hakuna mshikeri,mhimu msomaji asiingize mambo ya shiriki,kama kupiga ramli.
 
Kumsomea mtu Rukya kuondoa majini haijathibiti kwahiyo sio sahihi kama una majibu tofauti lete andiko
 
Kumsomea mtu Rukya kuondoa majini haijathibiti kwahiyo sio sahihi kama una majibu tofauti lete andiko
Kwahiyo hapo kufanya kisomo cha Ruqya unakiweka kwende kundi gani kwamba ni sehemu ya shirki?
 
Nijuavyo mimi mtu akiingiwa na majini waasi suluhisho ni kudumisha kumtaja Allah(dhikri), kuswali swala za Sunnah na faradhi pamoja na kusoma Qur'an hasa Surat nnasi, faraq na ikhlas na sio kwenda kwa mganga au sheikh akasomewe

Hebu nipe elimu kidogo hapo sheikh wangu
 
Tz mbongo njoo unipe elimu hapa
 
Mimi najua majini waasi humuingia binadamu kwa sababu ya upungufu wa ibada zake, Allah anasema

Surat Az-Zukhruf (43:36)


Hii ya kuwa majini waasi humuingia mtu kwa kutupiwa hebu niambie anatupiwaje?
Tz mbongo mkuu uwe unajibu maswali ili yako yajibiwe jibu hili
 
Ukitaka kujua waganga wewe ulizia kwa hawa waumini wa kiislam utapewa konekisheni zote za wa ganga hadi uchoke cha ajabu ni mashehe wao wa dini.

Usilamu na ulozi ni kama chupi ya malaya na shahawa.
 
Tatizo lako hata huo uchawi haujui ni nini na kuagua ni nini, ndio maana umeshikilia kutaja waganga tu et unataka uone mganga anayetumia biblia.

Kubali kataa novena haina tofauti na albadir tu.
Mbona unakomaa novena iwe sawa na albadir,unajua novena ni nini???msituhusishe na neema zenu za kiislam bana bakini nazo.
 
Ufafanuzi
Kwahiyo hapo kufanya kisomo cha Ruqya unakiweka kwende kundi gani kwamba ni sehemu ya shirki?
Ufafanuzi wa hoja hii nimeuweka kwenye comment niliyokutag kasome
 
Mimi najua majini waasi humuingia binadamu kwa sababu ya upungufu wa ibada zake, Allah anasema

Surat Az-Zukhruf (43:36)


Hii ya kuwa majini waasi humuingia mtu kwa kutupiwa hebu niambie anatupiwaje?
Nimesema unatumika uchawi kwahiyo wenyewe wanajua yapi ukiyafanya humtumikisha jini akamuingie huyo mtu.

Kwahiyo mkuu hiyo aya inasema wasiofanya ibada huingiwa na jini? Kwahiyo ibada ni kinga kwa majini?
 
 
Mleta mada anadai andiko lenye kuzungumzia hiyo Ruqya.

Kazanazo
Muwe mnatafakari mambo jambo,si kila jambo linaandiko, mhimu kujiuliza linaenda sawa na misingi ya dini ya kiislamu?,, Ni sawa na leo hii katika ulimwengu huu wa teknolojia,umwambie mtu akupe andiko linaloruhusu Quran kusoma kupitia simu au Quran kua ndani ya simu,utaonekana hamnazo ukitaka andiko juu ya hilo.
 
Nimesema unatumika uchawi kwahiyo wenyewe wanajua yapi ukiyafanya humtumikisha jini akamuingie huyo mtu.

Kwahiyo mkuu hiyo aya inasema wasiofanya ibada huingiwa na jini? Kwahiyo ibada ni kinga kwa majini?
Hasaa ibada ni kinga thabiti kwa viumbe wote wabaya hata binadamu
 
Mleta mada ameshasema sio sahihi kisomo cha Ruqya.
 
Kwahiyo mkuu hiyo ya Rukya wewe umeitoa kichwani mwako ukaona inaendana na uislam hakuna Aya wala hadithi
 
Ni hivi kujisomea ni jambo jema sana,ni kama vile dua nyingine za kawaida tujiombeazo binafsi, lkn mtu alopatwa na masheitwani tambua kwamba ni mgonjwa huyu,hajitambui pengine,ni vyema akasomewa na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…